T Tate Shebughe JF-Expert Member Jan 4, 2016 324 264 Apr 24, 2016 #2 Umeshakaribia. Furahia maisha ya jf.
sifi leo JF-Expert Member Mar 30, 2012 5,099 8,727 Apr 24, 2016 #5 karbu, sana ila umekja na zawadi gani maana mzee wa kubana matumizi yumo humo sio unakuja mikono mitumpu, sharti la jf, kira memeber umpe kifurushi cha buku
karbu, sana ila umekja na zawadi gani maana mzee wa kubana matumizi yumo humo sio unakuja mikono mitumpu, sharti la jf, kira memeber umpe kifurushi cha buku
mbm JF-Expert Member Apr 25, 2011 604 286 Apr 24, 2016 #6 Jf sasa Imekuwa ya makapuku wengi Napendekeza mod tuanzishie forum ingine pm wale wote member wa muda mrefu
Jf sasa Imekuwa ya makapuku wengi Napendekeza mod tuanzishie forum ingine pm wale wote member wa muda mrefu
M Markomx JF-Expert Member Apr 23, 2016 701 701 Apr 24, 2016 Thread starter #7 nashukuru wakuu,inabidi mniongoze kunitambulisha vyumba vya umu ndani