Tetesi: Mgeja na wenzake watano kurudi CCM

Wakiwa CHADEMA makamanda wakiwaondoka wasaliti!na aliyeuza Chama mtawitaje?
 
Dr Slaa Hana Laana itayoishika chadema hata siku moja Kwa sababu yeye aliondoka chadema Kwa njia Haramu baada ya kununuliwa na Membe Kwa dola milion 2 pesa za NIDA pamoja na zile za marehemu Gadafi ambazo Membe kazichimbia kwenye Handaki nyumbani kwake. Hakuna Laana hapo Slaa mwenyewe ni msariti hapo hapo ni mnafiki mkubwa maana yeye ndiye aliratibu kila kitu kisha akageuka baada ya kununuliwa na Membe.

= msaliti

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Nimesikitishwa sana na unafki wa mgeja mbele ya wanamabadiliko,wiki iliyopita mgeja na baadhi makada wenzake wanne waliweka kikao cha siri kupitisha azimio kuomba msamaha warudi ccm
Hali hii imekuja mara baada ya mkwere kutangaza atawashughulikia wote waliosaliti ccm wakati wa uchaguzi
Aidha siku ya ijumaa iliyopita baba riz akiwa ofisini lumumba alimpokea mgeni ambaye kiumri ni mtu mzima kuliko baba riz,mgeni huyo mstaafu wa jeshi mwenye lafudhi ya kanda ya ziwa ambaye pia ni kada kuntu wa ccm,alimweleza baba riz kuwa ana majina matano ya waliosaliti ccm lakin sasa wanataka kurudi ccm wakati wa kikao cha kamati kuu ya ccm kitakapo kaa mwezi june

Hali iliyomfanta baba riz kutahamaki na kuanza kuuliza."hawa wakati sisi tunatafuta serikali wao walitusaliti,sasa hivi wanataka nini?"lakin hatimaye alikubali kuyapokea majina hayo

Wanamabadiliko nitaendelea kuwajuza kadri muda unavyoruhusu juu ya vigeugeu hawa

My take:chadema tuwe makini na wanafki kama hawa

falcon mombasa
Kuipokea oili chafu ni usaliti.
 
Kasi ya Chama cha mapinduzi ni kubwa hamuwezi kwenda nayo na huyo Machinjioni aleyechaguliwa hivi karibuni huko Mwanza mtarijie kuaachia ngazi baada ya muda mfupi atakapokosana na mwenye chama chake.
 
Labda kwavile ni tetesi nitawashangaa ccm kuwapokea watu mliowaita oil chafu na mafisadi.
 
Wenye mapenzi ya dhati na chadema ni wale ambao hawakuwahi kuwa wanachama wa ccm.......kinyume chake ni maslahi tu.
 
Back
Top Bottom