Mfungo wa Ramadhani umeanza, mahali ulipo sukari imeshuka bei? Hali ikoje kwa bidhaa nyingine?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
519
1,246
Wakuu kwema?

Waziri Bashe aliahidi sukari ingeshuka bei mfungo wa Ramadhani ukianza. Mfungo umeanza, bei ya sukari imeshuka mahali ulipo?

Bidhaa nyingine vipi, kuanzia maharange, mchele, sembe, mihogo, magimbi, nk?
 
Ahadi za uongo ni moja ya mambo yanayofanya Taifa liwe nyuma kimaendeleo.

BADO BEI IPO JUU NA HAKUNA MNACHOWEZA KUWAFANYA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wakuu kwema?

Waziri Bashe aliahidi sukari ingeshuka bei mfungo wa Ramadhani ukianza. Mfungo umeanza, bei ya sukari imeshuka mahali ulipo?

Bidhaa nyingine vipi, kuanzia maharange, mchele, sembe, mihogo, magimbi, nk?
Nilipo sh 4500 kwa kilo
Lakini sukari magimbi mihogo viazi tambi avihusiani na funga viwepo visiwepo wenye imani zao watafunga tu
 
Back
Top Bottom