Kuna project mbadala itakayo leta ushindani mkubwa kwa mfereji wa Panama.
Kampuni moja ya Kichina kutoka Hong Kong wameingia mkataba na Serikali ya Nicaragua kugharimia ujenzi wa mfereji wa maili 173 wa ku join bahari ya Pacific na Karibiani - mfereji huo ukikamilika Panama Canal itapata wakati mgumu kibiashara - Wachina noma sana.
Sijui Amerika italichukulia suala hilo kivipi maanake Wamarekani wame invest sana kwenye mfereji wa PANAMA.