Mfahamu Mark Zukerberg, Mmiliki wa Facebook, Instagram na WhatsApp

Kuna sehemu umedanganya
Umesema alioana na priscila 2012
Baada ya kukaa nae kwenye mahusiano kwa miaka kumi tangu 2003 wote wakiwa wanafunzi harvad na waliona siku ya graduation ya mkewe .swali langu je mkewe alisomea (MD) kwa miaka kumi 12 yote ndani ya chuo kimoja(harvad)?
 
Naona hata hapa yuko nao huko Alabama recently. Me siwaoni can you spot them?
0ee93bf2ec03217ca54fd868d33d91fb.jpg
Huyo mkewe so mchina kweli?!
 
Hakuna maajabu yoyote aliyofanya ya kutisha - Sema alishtuka mapema sana na amekuwa mjanja wa kununua mitandao ya wenzake inayotishia ustawi wa Facebook ( WhatsApp, instagram ). Alitaka pia kuinunua SnapChat, Mmiliki akakataa kumuuzia !

- Ubunifu mdogo tu unaweza kumfanya mtu billionnaira ndani ya muda mfupi , ni lazima vijana wa Tanzania tuache kuishi kwa hisia na imani zisizoeleweka, tujitume.

- Mtanzania Edwin Bruno ( Mmiliki wa Smart- Code ) amebuni App inayowawezesha watu kusoma magazeti " Kurasa kwa Kurasa, tena kwa nusu bei - Leo kafadhiliwa na VodaCom na hata simu yao mpya ya Smart- Bomba imewekwa App ya M-Mpaper ), Kesho tu anakuwa billionnaire Mnaanza kusema mara Freemason, mara myahudi mara kasoma shule nzuri, mara hivi na vile ili mradi tu tupate kijisababu cha kutuweka kwenye Comfort Zone.
 
Huyo mkewe so mchina kweli?!
Anaitwa Priscilla Chan, atakuwa mchina - Mara nyingi kina Chan ni wachina, labda amekuwa kama Diamond aliyetaka Demu wa Uganda na soko la Uganda pia, Kwa kuitafutia Facebook soko China
 
Hakuna maajabu yoyote aliyofanya ya kutisha - Sema alishtuka mapema sana na amekuwa mjanja wa kununua mitandao ya wenzake inayotishia ustawi wa Facebook ( WhatsApp, instagram ). Alitaka pia kuinunua SnapChat, Mmiliki akakataa kumuuzia !

- Ubunifu mdogo tu unaweza kumfanya mtu billionnaira ndani ya muda mfupi , ni lazima vijana wa Tanzania tuache kuishi kwa hisia na imani zisizoeleweka, tujitume.

- Mtanzania Edwin Bruno ( Mmiliki wa Smart- Code ) amebuni App inayowawezesha watu kusoma magazeti " Kurasa kwa Kurasa, tena kwa nusu bei - Leo kafadhiliwa na VodaCom na hata simu yao mpya ya Smart- Bomba imewekwa App ya M-Mpaper ), Kesho tu anakuwa billionnaire.

mdo mdo tutafika
 
Back
Top Bottom