ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Mkuu umeongea ukweli uliopitiliza..hata pale machinga complex pale waliishia kukaba nafasi na kusepa.
Hii ni awamu ingine na atakayerudi barabarani apakiwe kwenye basi arudishwe kwao. Kama ni wa hapo jijini afungwe kifungo cha nje kusafisha barabara.