johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,035
- 164,333
Aliyekuwa Meya wa Ubungo mh Boniface Jacob amemlilia mzee Lowasa na kusema " Rafiki wa kweli, Jabali la Siasa za Tanzania leo amelala"
Jacob amesema alibahatika kufanya KAZI na Mzee Lowassa na amejifunza mambo Mengi kutoka Kwake
Mzee Lowassa ni Shule ya Uongozi iliyokuwa inatembea, amemalizia ex mayor Jacob kwa uchungu Sana
Naye mbunge wa Viti Maalum mh Halima Mdee amemtaja mzee Lowasa kama " Kiongozi"
Esther Bulaya amesema Mzee Lowassa alikuwa Baba
RIP mzee Lowasa