hatari sanaWalete hiyo sharia tanzagiza ili ccm wakome kuua wapinzani (Mawazo nk) vinginevyo wakiua tu mpinzani,wavunje mijengo yao ya ccm isiyo lipiwa kodi, wapate viwanja vya kuzikia.
Manake kila balaa ccm inaelekeza kwa wapinzani.hata wanayosababisha ccm wanasema,chadema,mbowe,kama ni kweli kwanini wanakataa mzungu kumtafuta Ben ? Ccm mleteni Ben,mnajua alipo,hamuwezi kupinga msaada wa kumtafuta bila kujua mnahusika kwa upotevu wake,mnaogopa /mnakwepa kuumbuka.