Mende wanaingiaje kwenye friji ikiwa limefungwa??

hii inaonesha ni kiasi gani hao wadudu ni washirikina.
Ukitaka kuwakomesha, ukimwona tu we vua nguo zote halafu toka nje huku unapiga yowe.
Unacomment use.nge kama huu afu watu wanaangalia avatar yako unategemea nini?
 
kwema humu???

naomba kufaamishwa mwenye uelewa, hivi mende wanapitiaga wapi kuingia kwenye friji likiwa limezimwa???

nimejipanga kisaikolojia kwa kila aina ya jibu
Lazima friji lako litakuwa chafu mende hawezi kuzaliani kwenye friji jipya.
Kwenye ule mkanda wa mlango wa friji,kunakua na ukoko ambao ukiachwa bila ya kusafishwa,na unazlisha germs ambazo zinaji multiply kuzalisha mayai ya wadudu wa aina mbali mbali
Metamorphosis ya mende ni ya spidi kubwa,na mende ni rahisi ku survive kwenye mazingira magumu,ndio maana unakuta mende wakati mayai ya wadudu wengine yanashindwa kuzaana
 
Mende baadhi yao wana zaliwa kwenye zile mboga mboga plus maji, ila **** wingine wanapita kwenye nyaya ndani hadi ndani ya taa na kuanza maisha.
mkuu hapo kwenye nyota nahisi ulitaka uandike kuna ukakosea kidogo server zikashtuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom