Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,534
Acheni Upuuzi huo, hata Membe ni mpuuzi sana...
Ina maana yeye alitaka serikali iundwe na watu wangapi?
Ukweli ni kwamba, mm ni UKAWA ila katika hili nipo pamoja na Mh. Rais.
Kuunganisha wizara ni jambo zuri sana, hapa kapunguza wingi wa Mawaziri.
Sasa, chukulia wizara ya Kilimo, mifugo na Uvuvi..hivi hapa alitaka makatibu wakuu wawe wangapi?
hapa ni laxima wawe Watatu...!kumbuka makatibu wakuu ndio watendaji na wataalamu, sasa ilikuwa ni laxima awepo katibu mkuu mtaalamu was kilimo, katibu mkuu mtaalamu wa uvuvi na katibu mkuu mtaalamu wa mifugo ili wamsaidie Mh. Waziri na Naibu Wake..!
kuhusu safari za nje, hivi Magufuli alisema kwamba hatasafiri daima?
Obama toka aingie madarakani amesafiri Mara ngapi had sasa?
kinachozuiwa si safari zote Bali zile muhimu kwa nchi tu..!
Hebu aseme, hivi Rais kusafiri kwenda Jamaica kubembea kamba ina umuhimu gani kwa nchi?
Au Rais kusafiri na kwenda kuonana na wasanii wa nje ya nchi ina umuhimu kwa nchi?
Nadhani laana ya fedha za Libya na gadafi bado inakusumbua sana na ya yule balozi wa Libya.