Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,774
- 32,590
Mzuka wanajamvi,
Naanza kwa kucheka hahaha kwikwikwi.
Meli ya uvuvi ya Iran Almeraj 1 imetekwa na maharamia ya Kisomali ambao wanadai usd 400000 ili kuichia pamoja na wavuvi wake.
Kumbuka Kwenye hiyohiyo bahari nyekundu Iran wanatumia wanamgambo wa Houthi kuteka meli za wateule Israel na Marekani na wao Iran Shiite sasa hivi wanatekwa na meli zao kutoka waislamu madhehebu ya sunni wasomali.
Hapa Patamu Shia vs Sunni.
Maharamia wasomali kamateni hapohapo msiachie.
Alwaz Ritz incharge ITR
JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE.