Habari wana JF!
Nimekua nikifuatilia media za Kenya expecially TV stations Citizen TV nikajifunza kua media za Kenya zina uzalendo mkubwa sana. Mfano kama kuna issue ya kitaifa hua wanafanya a national conversation, wanapeleka watangazaji kila pande ya nchi yao halafu watu wanatoa michango yao ni inarushwa Live na kama ni issue inamuhusu kiongozi wa nchi na yeye anakua studio na anatolea maelezo na anajibu maswali yanayoulizwa na watu nchi nzima live.
Mfano kuna wanafunzi walitapeliwa wakaambiwa wanapewa scholarship ila hawakutimiziwa, hii issue ilibebwa kama issue ya Taifa.
Kuna issue ya Universa Health Coverage inadiscussiwa leo live na kila Mkenya anauliza maswali live na Waziri yupo hapo anajibu.
Kulikua na issue ya coverages za Mikopo ya vyuo vikuu. Hii issue ilidiscussiwa live on TV na wahusika wote toka board ya mikopo na viongozi wa serikali walikuepo live wanajibu maswali na kutolea maelezo.
Kiukweli hawa ndugu zetu wako mbali mno, unajua wanatoa elimu kiasi kwamba hata mtoto mdogo anapata uelewa wa kile kinachoendelea kwenye nchi yao.
Ila hapa kwetu utaskia kaitwa waziri anaulizwa maswali structured na mtangazaji tuu, kwa hyo kama mtu hana TV hawezi kuona wala kujua waziri kaongea nini ila wenzetu wanafanya kama mikutano kwenye maeneo tofauti tofauti nchi nzima.
Au labda ni mimi sielewi, hizi issue hua ni za viongozi tuu na watangazaji au ni issue za wananchi? Mfano issue kama ya Katiba mpya kwa nini TBC au ITV na stations nyingine msiandae siku moja mkapeleka watangazaji hata mmoja kwenye kila kanda then hapo studio mnakua na waziri na viongozi wa upinzani then issue inadiscussiwa live, tunawaona watu wa kanda ya ziwa, kanda ya kati, Zanzibar, kanda ya kati, kusini na kaskazini. Watu wanauliza maswali, wanaeleza uelewa wao huku wengine wanashuhudia kwa kuangalia kwenye TV.
Tubadilike for good.