Kati ya makocha wazawa wanaonikosha mojawapo ni Meck Mexime,huyu namfananisha kama mkufunzi La Masia kapika wachezaji sana naimani mchezaji ukiwa chini ya meck Mexime upo chini ya mikono salama,
Dante,Kichuya,Muzamiru,Mbaraka Yusuph,kiwango cha Kaseja kwa sasa kimepanda mnoo anza mtibwa mpaka Kagera Sugar ameleta mapinduzi makubwa sana kwa hizi timu.
Sio Mbaya Kama Tff watamkabidhi timu ya Ngorongoro heroes ambao walikua Serengeti boys,Bakari shime yeye aendelee kupika vijana wengine.
Sio Kampeni ila Meck Mexime anaweza na anajiamini pia Nidhamu yako ipo safi kuanzia enzi kapteini Taifa stars chini ya maxio Maximo.