Mechi ya Kirafiki; Simba 5 vs Cosmopolitan Fc 1

BRN

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
4,923
6,243
Timu ya mpira wa miguu ya Simba leo tarehe 05/09/2023 imeendelea na kucheza mechi za kirafiki za ndani kwa ajili ya mazoezi ambapo imecheza na timu ya Cosmopolitan.

Simba imepata goli 5 dhidi ya goli moja la Cosmopolitan Fc na magoli ya Simba yamefungwa na Phiri, Baleke,Onana, Kramo na Chilunda.

Ahsante

F5P5iDkWMAA25gw.jpg
 
UTOPOLO MACHIZI SOKA YATAKASIRIKA.


LAANA ZA SIMBA NA YANGA.

ANYWAY NDIO KICHAKA CHA WAJINGA NA WAPUMBAVU KUPOTEZEA MUDA.
 
Duh.... Utopolo Wanavyopiga Chabo na kufuatilia nini Kinafanyika 'Mo Simba Arena' Utadhani Fundi saa anatafuta nati iliyopotea kwenye kasha lake...!

Ngoja Mereikh Awafurushe CL kama alivyowafanya Al hilal mwaka jana ..kibaya Zaidi mwaka huu hakuna kudondokea ndondo CUP(CAFCC..!)
 
UTOPOLO MACHIZI SOKA YATAKASIRIKA.


LAANA ZA SIMBA NA YANGA.

ANYWAY NDIO KICHAKA CHA WAJINGA NA WAPUMBAVU KUPOTEZEA MUDA.
Ok. JKT walipofungwa tano na Yanga, mkasema Yanga imekutana na timu mbovu. Hivi JKT unaweza ukawalinganisha na hao vilaza? Tena wameweza kupata goli moja..!!!

YAANI SIMBA BADO SANA. SIMBA NI LIPULI ILIYOCHANGAMKA
 
Kwani Cosmo ndio timu gani??? Ya daraja la ngapi??? Ndo leo naiskia. Wewe antibiotic fake hebu tuelezee na huyo Kinjekitile fake toeni maelezo. Haya sasa badala ya Uturuki mnaishia kucheza na time za timu za mchangani. Chezea janjajanja nyie???? Hamoni aibu???????
 
Back
Top Bottom