MCC vipi??TTCL biashara ya ushindani imewashinda. Wameshindwa kwenda na kasi ya Teknolojia ya sasa inayotumiwa na makampuni binafsi. Hapo sijaona connection ya mdororo wa uchumi ila ninachokiona ni TTCL kushindwa biashara ya ushindani
itakutawala weweWazungusha mikono hamjambo?
Naona kila Siku nyie ni kushabikia mikwamo tu!
Kwa ujinga huo CCM itatawala Mimi!
Wazungusha mikono hamjambo?
Naona kila Siku nyie ni kushabikia mikwamo tu!
Kwa ujinga huo CCM itatawala Mimi!
Paul Makonda atahakikisha kura za watu wa mijini zinarudi CCM.2020 Magufuli kura za watu wa mijini asahau.
TTCL biashara ya ushindani imewashinda. Wameshindwa kwenda na kasi ya Teknolojia ya sasa inayotumiwa na makampuni binafsi. Hapo sijaona connection ya mdororo wa uchumi ila ninachokiona ni TTCL kushindwa biashara ya ushindani
Huyo ndio zero kabisa!Paul Makonda atahakikisha kura za watu wa mijini zinarudi CCM.
hatukusema kabla ya mikwamoWazungusha mikono hamjambo?
Naona kila Siku nyie ni kushabikia mikwamo tu!
Kwa ujinga huo CCM itatawala Mimi!
Ni kweli haya mashirika yalizoea kujiendeasha kwa mazoea hasa kujinufaisha kwa baadhi ya watendaji hayakua kibiashara na hasa kuzoea ruzuku toka serekaliniTTCL biashara ya ushindani imewashinda. Wameshindwa kwenda na kasi ya Teknolojia ya sasa inayotumiwa na makampuni binafsi. Hapo sijaona connection ya mdororo wa uchumi ila ninachokiona ni TTCL kushindwa biashara ya ushindani
Kwanini is fanye diversification ; ikawa kama~~~~~>TTCL ilipaswa kuwapunguza hawa watu siku nyingi sana..... Ni wafanyakazi wasio na kazi ya kufanya.
~~~>Matatizo ya TTCL ni sawa na ya ATC.... Wafanyakazi wasio na kazi za kufanya.....
Ni kweli haya mashirika yalizoea kujiendeasha kwa mazoea hasa kujinufaisha kwa baadhi ya watendaji hayakua kibiashara na hasa kuzoea ruzuku toka serekalini