hv miss chagga alishachangia... nataka niweke nae ligi...!!!!Asante sana kwa somo
Asante sana kwa somo
hongera kama itakuwa hivyoTutayazingatia mkuu
Muombe vyema atakujalia mkuuMungu nijalie mke mzuri
Well said... Kuna mtu unaweza kua nae na unamfanyia kila kitu kama amekuoa vile lakin kwa kulalamika kama mbu wa gizani
yeahNzuri sana
Pamoja bibieSawa
shukrani mkuuumeeleweka mkuu
sawa mkuu uko vizuriMimi mambo ya ushilawadu sio yangu, hakuna hata rafiki yangu mmoja anaejua mambo yangu na mpenzi wangu. Kwasababu ni siri yetu kama jema au baya, nilijifunza miaka ya nyuma nilipokuwa nikiwaambia mambo yangu rafiki zangu.
KIKULACHO KINGUONI MWAKO.
Ndukiiiii
uko njema mkuuNi kweli Mutabari. Wengi huongea mabaya as if walilazimishwa kuingia kwenye hayo mahusiano. Wasisahau Kuwa unapoongelea vibaya hayo mahusiano you only prove how stupid you are on relationship.