Mdomo huumba, ongea mazuri kuhusu mahusiano yako

Well said... Kuna mtu unaweza kua nae na unamfanyia kila kitu kama amekuoa vile lakin kwa kulalamika kama mbu wa gizani
 
Mimi mambo ya ushilawadu sio yangu, hakuna hata rafiki yangu mmoja anaejua mambo yangu na mpenzi wangu. Kwasababu ni siri yetu kama jema au baya, nilijifunza miaka ya nyuma nilipokuwa nikiwaambia mambo yangu rafiki zangu.
KIKULACHO KINGUONI MWAKO.



Ndukiiiii
sawa mkuu uko vizuri
 
Back
Top Bottom