Umekula leo?!Jamani kuna bidada jana kafanyiwa mchezo na mchumbake. Mchumba kampigia simu bidada huyu kwa namba mpya huku akibadili sauti na jina.
Akajifanya mshefa mpya kabisa wamepeana namba hivi karibuni. Dada bila ya kujua kuwa anaongea na mchumbake, mazungumzo yakaenda hivi:-
Kaka: hallo
Dada: hallo
Kaka: naongea na ....(akataja jina)
Dada: ndiyo ni mm.
Kaka: uko wapi siku hizi?
Dada: nipo dar
Dada: samahani naongea na nani?
Kaka: unaongea na...(jina fake)
Dada: na...(jina fake) tulionana wapi?
Kaka : tulionana pale supermarket (jina la super market anayopendelea kwenda)
Kaka: uko free kwa kutoka out?
Dada: aaah! Hebu nikumbushe vizuri jinsi tulivyokutana ndiyo nitakuwa huru zaidi kukueleza.
Kaka: hahahaha! Wewe ...(jina la mchumba). Mimi ni ...mchumbako hii ni namba yangu mpya. Nimebadilisha sauti tu. Kumbe hujui sauti ya mchumbako hadi leo?
Dada: kakata simu..
Basi jamaa anatwanga simu haipokelewi, anatuma sms hazijibiwi.
Kaja kunisimulia kisa kizima na kuniomba ushauri. Anauliza hivi hili ni kosa kubwa kiasi cha kumfanya mchumba anune kiasi hiki? Au anaona kaumbuka sasa anona aibu?
WanaMMU naombeni mawazo mujarabu ya kumpa huyu ndugu.
Mkaushie huna kosaJamani kuna bidada jana kafanyiwa mchezo na mchumbake. Mchumba kampigia simu bidada huyu kwa namba mpya huku akibadili sauti na jina.
Akajifanya mshefa mpya kabisa wamepeana namba hivi karibuni. Dada bila ya kujua kuwa anaongea na mchumbake, mazungumzo yakaenda hivi:-
Kaka: hallo
Dada: hallo
Kaka: naongea na ....(akataja jina)
Dada: ndiyo ni mm.
Kaka: uko wapi siku hizi?
Dada: nipo dar
Dada: samahani naongea na nani?
Kaka: unaongea na...(jina fake)
Dada: na...(jina fake) tulionana wapi?
Kaka : tulionana pale supermarket (jina la super market anayopendelea kwenda)
Kaka: uko free kwa kutoka out?
Dada: aaah! Hebu nikumbushe vizuri jinsi tulivyokutana ndiyo nitakuwa huru zaidi kukueleza.
Kaka: hahahaha! Wewe ...(jina la mchumba). Mimi ni ...mchumbako hii ni namba yangu mpya. Nimebadilisha sauti tu. Kumbe hujui sauti ya mchumbako hadi leo?
Dada: kakata simu..
Basi jamaa anatwanga simu haipokelewi, anatuma sms hazijibiwi.
Kaja kunisimulia kisa kizima na kuniomba ushauri. Anauliza hivi hili ni kosa kubwa kiasi cha kumfanya mchumba anune kiasi hiki? Au anaona kaumbuka sasa anona aibu?
WanaMMU naombeni mawazo mujarabu ya kumpa huyu ndugu.
Ndiyo mkuuUmekula leo?!
Umeona eee!!?Mkaushie huna kosa
Kwa vipi mkuu?Wakaka Wa dar katika ushamba wao
Ha ha haWakaka Wa dar katika ushamba wao
dar kama hollywood au mumbai, huwezi toka mpaka uje #TOROKA UJEWakaka Wa dar katika ushamba wao
Mmh! Yawezekana Mkuu. Maana mmh!!Mchumba wako malaya kajistukia wala sio kosa kiivyo
Jqmaa kamuomba dada msamaha dada kakaza tu. Kulikoni? Au alikuwa anatafuta mlango wa kutokea?Huyo mwanaume naye ni mpuuzi nahisi,acha tu huyo dada akereke hivyo! Kutojiamini
Kamuona mtotoJqmaa kamuomba dada msamaha dada kakaza tu. Kulikoni? Au alikuwa anatafuta mlango wa kutokea?
Hata mm naanza kuamini hivyo. Inaelekea kajistukiaDemu kimeo tu huyo