Mchezaji soka wa Cameroon afariki uwanjani

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714


Mchezaji wa soka ya kimataifa kutoka Cameroon, Patrick Ekeng, amefariki baada ya kuanguka uwanjani katika ligi ya Romania.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 alipoteza fahamu dakika saba tu baada ya kuingia uwanjani kuchukua nafasi ya mchezaji mwingine katika timu yake ya Dinamo Bucharest katika mji mkuu wa taifa hilo, Bucharest.

Hakuwa amegusana wala kukaribiana na mchezaji mwingine alipoanguka uwanjani.

Matabibu walimkimbiza hospitalini ambako madaktari walijaribu kumzindua kwa zaidi ya saa moja bila kufaulu.

Kwa muda wa miaka michache iliyopita wachazaji kadhaa Waafrika wamefariki walipokuwa wakicheza uwanjani.
===========================


Dinamo Bucharest and Cameroon midfielder Patrick Ekeng has died aged 26 of a suspected heart attack after collapsing on the pitch.

Ekeng fell to the floor in the 70th minute of a televised Romanian league match between Dinamo and Viitorul.

He was pronounced dead in hospital two hours later.

The Romanian Football Federation announced on Saturday the Romanian Cup final between Dinamo and Cluj would be put back a week to 17 May.

It said all games scheduled for this weekend would be postponed.

The Cameroonian FA confirmed Ekeng's death on Twitter on Friday, while his former club Cordoba tweeted: "We have no words to express our sadness at the loss."

Ekeng had also previously played for Le Mans and Lausanne.

In 2003, Cameroon international midfielder Marc-Vivien Foe died after collapsing during a Confederations Cup match against Colombia in France.


Source: BBC
 
Ungeandika kumzindua badala ya "kumfufua"

RIP mchezaji, nenda ukale ugali na mc vivien Foe.
 
Heart attack nilijua ni kwa watu wasiofanya mazoezi kumbe hata watu wa mazoezi yanawatokea.
 
Mmmhhhh mbona hawa wa Cameroon wanafia sana uwanjani,alianza Mark Vivian Foe amefuata huyu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…