Mwanasoka Bora wa Afrika, Mtanzania, Mbwana Samatta akikatisha katika jiji la Dar leo kuanzia Hoteli ya Hyatt Regency Kempinsk mpaka Escape One akiwa katika gari la waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye (kushoto mwenye tuzo) akiwa na Mbwana Samatta.