Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

Kama huyo Mbunge wa zamani amekutwa na kosa la kutoa rushwa then what next? Ninaamini atafungiwa kushiriki uchaguzi/kugombea for 5 yrs. Je TAKUKURU wana mpango gani na huyu ex.MP? What about zile fujo alinzoanzisha kule Igunga?
 
Na Takukuru nao wamemchukulia hatua yeyote huyo aliyekuwa mbunge?
Nakumbuku huyu bwana alianzisha vurugu na pistol yake kule kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga.
 
[h=3]Mahakama Yamvua Ubunge Mbunge Sumbawanga Mjini ( CCM)[/h]
Hukumu ya kupinga matokeo ya ubunge wa sumbawanga mjini wa Aeshy Hilaly Halphany CCM dhidi ya mwalimu Norbet Joseph Yamsebo wa Chadema ambaye anadai kuchakachuliwa katika uchaguzi huo.

Madai miongoni ni pamoja na kutoa rushwa kwa makundi mbalimbali na watu wengi walijitokeza kutoa ushahidi huo na kukiri kuwa ni kweli walipokea vitu mbalimbali ikiwemo fedha, baskeli, pikipiki, vinywaji, kinanda kwa kanisa katoliki, nk kwa sharti la kumpigia kura mbaya zaidi ni kwa mkurugenzi mwanamama kutoa ushahidi wa kupinga ushindi wa mbunge huyo, mkurugenzi huyo alihamishwa muda mfupi mara baada ya matokeo ya uchaguzi kutolewa na kupelekwa wilaya ya Ileje.

Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika. Mahakama imemvua ubunge mbunge wa CCM Bw. Aheshy Hilal.
 
Jimbo la Sumbawanga liko wazi baada ya mahakama ya sumbawanga kutengua ubunge wa liyekuwa mbunge wa kupitia ccm,,na ameamua kuwasubili wanasheria wake ili kujua nini cha kufanya,,,
Alidaiwa kugawa mamilioni ya rushwa kipindi cha uchaguzi wa 2010.

Source: TAARIFA YA HABARI CHANNEL 10.

Mkuu Ulikuwa umelala nini, Habari tunazo tokea Mchana
 
Mahakama Yamvua Ubunge Mbunge Sumbawanga Mjini ( CCM)

Hukumu ya kupinga matokeo ya ubunge wa sumbawanga mjini wa Aeshy Hilaly Halphany CCM dhidi ya mwalimu Norbet Joseph Yamsebo wa Chadema ambaye anadai kuchakachuliwa katika uchaguzi huo.

Madai miongoni ni pamoja na kutoa rushwa kwa makundi mbalimbali na watu wengi walijitokeza kutoa ushahidi huo na kukiri kuwa ni kweli walipokea vitu mbalimbali ikiwemo fedha, baskeli, pikipiki, vinywaji, kinanda kwa kanisa katoliki, nk kwa sharti la kumpigia kura mbaya zaidi ni kwa mkurugenzi mwanamama kutoa ushahidi wa kupinga ushindi wa mbunge huyo, mkurugenzi huyo alihamishwa muda mfupi mara baada ya matokeo ya uchaguzi kutolewa na kupelekwa wilaya ya Ileje.

Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika. Mahakama imemvua ubunge mbunge wa CCM Bw. Aheshy Hilal.
[h=2]Tuesday, October 19, 2010[/h] [h=3]MAMA SALMA KIKWETE AWANADI WAGOMBEA CCM RUKWA!![/h]
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kwela mkoa wa Rukwa Aloyce Malocha.h 18-10-2010
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimnadi mgombea Ubunge (CCM) jimbo la Sumbawana mjini (mkoa Rukwa) Aeshi Hilary 18-10-2010

Rais Jakaya Kikwete alikataa kumunadi kwa kumushika Mukono kwa kuwa alikuwa na tuhuma za kuteka na Kumulaiwiti Mhindi , Lakini Mama Salm akafanya hivyo ya kuzomewa!!!!!!!!!1

[h=2]Tuesday, October 19, 2010[/h] [h=3]MAMA SALMA KIKWETE AWANADI WAGOMBEA CCM RUKWA!![/h]
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kwela mkoa wa Rukwa Aloyce Malocha.h 18-10-2010
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimnadi mgombea Ubunge (CCM) jimbo la Sumbawana mjini (mkoa Rukwa) Aeshi Hilary 18-10-2010.Kwa hisani ya Full Shangwe​
 
Aesh akiwa chini ya Ulinzi.jpg
Kamata mwizi man!
 
Hongera sana CDM! Ila hawa jamaa wakishindwa,wanakimbilia kuua tu! Hivi hizi harakati za ukombozi zitafanikiwa kweli?
 
uzi huu tayari tushajua kuwa suala la mwisho ni kuwa CDM wameshinda Hongera upinzani, kazeni buti ila msiache kujipanga. ninafikiri dalili ni kuwa nchi mtaichukua ila ni vema sana sasa mkawa na watu wa ku-panga na kuandaa mikakati inayostahili kwa ajili ya kutokuwa na mwelekeo mara mambo yawapo upande wenu.
 
Hongera kamanda kwa kuhakikisha unakata rufaa ili haki itendeke lakini pongezi zaidi kwa hakimu kwa kutafsiri vema sheria ya uchaguzi. Hongera sana na pia wana cdm wote tusubiri jimbo lingine la segerea hapo keshokutwa! Ukombozi ni sasa kwani mungu yu upande wetu.

ila wa arusha hakusimamia haki
cdm bwana
 
Hata hivyo mheshimiwa huyo ana kashafa nyingi machoni pa watanzania ikiwemo ya kupenda mabinti wadogo.Pia anadaiwa shule ilimshinda form 2 baada ya kufukuzwa shule na mwl Yamsebo (mgombea wa CHADEMA).Kwa hali hii angeongoza vipi Sumbawanga?

Pia kawahi kushirikiana na rafiki zake yeye akiwa ameshika bastola, kumuingilia kinyume na maumbile mfanyabiashara mwenzake kwa kumtuhumu kutembea na mpenzi wa rafiki yake na kisha kurekodi video ya tukio hilo la kifarauni.
 
Back
Top Bottom