Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,939
- 9,959
Sijaelewa!!!Sasa uhusiano wa hii habari na Mbunge kushindwa kazi yake ya Ubunge ukoje mkuu??
Sijaelewa!!!Sasa uhusiano wa hii habari na Mbunge kushindwa kazi yake ya Ubunge ukoje mkuu??
mimi pia nimeshindwa kuelewa.kichwa cha habar na kilichondan hata havina ukaribu hata kidogoSasa uhusiano wa hii habari na Mbunge kushindwa kazi yake ya Ubunge ukoje mkuu??
hongera labda ya silaha japo pia naamin aslimia kubwa wo ndio sababu ya watu hao kua manyamera.kama nch inautajiri mkubwa lakin ndio maskin kuliko wafanyaje?ajira hakuna ukipata kamtaji kidogo unabanwa mbavu kwa mzigo wa kodi utapataje maendeleo?nch imebaki kukusanya kod tu.imeshindwa kubun vyanzo vipia vyamapato.kwa mfano hiyo mirung wenzetu kenya mirung inaingizia pato kubwa saba kwenye taifa mirung kenya inapewa ulinzi kama sisi tunavyolinda magar ya hela ya bank.sijawah kuona mtu kawa kichaa au kudhoofu kwasabsbu ya mirung.mirung nimiti ya asili kabisa leo tunaiita madawa ya kukevya pombe kali viroba na nk.tunajitahd kuzipunguza bei kila mtu aweze kuzinunua zipo mpaka za mia tatu wakati madhara yake nimakubwa kwa wananch vijana weng leo hawawezi kufanya kaz yoyote hata ya usafi wa miili yaotu inawashinda kwasababu ya viroba high life na aina kama hizo za pombe.hatujawahi kusikia tukiambiwa hazifai tukafunga viwanda ila tunakamata gongo unajiuliza gongo na kiroba tofaut yake ni ipi kwenye afya ya mwanadamu?jibu nihakuna ila tu nikwakua anayetengeneza gongo halipi kodi. tanzania haitakaa ipate uchumi wa kuwasaidia wananch wake chini ya ccm hata miaka miatano ijayo.hatupend kujifunza kwa wengine na serikali haiko serious kuwalinda na kuwasaidia wananch wake.Hongera mkuu wa mkoa kwa kazi nzuri, nawaomba ukawa tuweke Silaha chini tuipongeze kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa arusha kwa kazi nzuri
Usifanye siasa kwa kila kitu. Nani alikuambia mbunge ndiyo 'mwenye' wananchi? Na hata kama ndiye mwenye hao wananchi anaingiaje katika hili wakati haya ni mambo ya kiusalama na kidola ambayo mbunge siyo sehemu ya majukumu yake ya kusimamia!Mwenye wananchi ni nani
Urithi wa mbowe.Ulifikiri nitakuja kukutembelea usiku