Hakuna.Hivi hakuna sheria ya kumvua ubunge?
Yaani tunajisumbua bure kubishana na akina lizaboniBora nife kuliko kuwa mshabiki na mwanachama wa ccm.Kama huyo ndiye mwakilishi wa wananchi,hali ikoje kwa wanachama na wafuasi wa hicho "CHAMA CHA MWENDOKASI"(CCM)?
Huwezi kupigwa faini kwani picha hiyo ni sifa kwao. Mie nashauri na pale alipocheza mapanga shaa na TMK wajenge ukumbi wa disco kwa ajili ya burudaniMimi ninayo lkn sina 7 milioni
Mbavu zangu!Huwezi kupigwa faini kwani picha hiyo ni sifa kwao. Mie nashauri na pale alipocheza mapanga shaa na TMK wajenge ukumbi wa disco kwa ajili ya burudani
Pia kuna sehemu alizigonga ngoma kishenzi wajenge makumbushoHuwezi kupigwa faini kwani picha hiyo ni sifa kwao. Mie nashauri na pale alipocheza mapanga shaa na TMK wajenge ukumbi wa disco kwa ajili ya burudani
Dah kweli ndiyo maana Kagera ni moja ya mikoa masikini kabisa Tanzania. Mkoa umetoka kuwa wenye kuzalisha wasomi wa hali juu mpaka kuwa mkoa wa kuzalisha wajinga na masikini. Haishangazi ndiyo maana wamemchagua huyu kuwa mbunge wao. Wazee wao watakuwa wanashtuka ndani ya makaburi yao wakisikia ujinga aliozungumza huyu mbunge
duuuh......!! hawa ndio watunga sheria wetu.......? kweli bunge ili lionekane bunge wapinzani wana mchango mkubwa mno.Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa Karagwe (CCM) Mh Inocent Bashungwa ameomba uwanja wa Kayanga mjini Karagwe ujengwe kama kumbukumbu ya kitendo cha mgombea Urais kupiga push up jukwaani
Akijibu ombi hilo waziri anayehusika na Habari, michezo, utamaduni na sanaa Nape amesema mchakato wa kuenzi kumbukumbu hiyo unaweza kuanza maana kitendo kile kilionyesha ni jinsi gani mgombea wao angetengeneza serikali ya kazi tu na kwamba mgombe mwingine ingekuwa kazi kwake kufanya hivyo.
Hii inaitwa mizengwe katika vituko show, na ndo mana mwaka jana kingwendu alisimama kushindana nao kwenye uchaguzi akijua hakuna mwanaccm aliye tofauti na yeye au kumzidi maarifa. ccm wana miteru mingi[em.oji23] Daaah aisee kushabikia CCM unahitaji uwe na akil za ziada.