Nimetoka gereza la Ukonga kumwona Mh. Lijualikali na Patron wa mkoa wa Morogoro kamanda Zinga na wapiga kura wangu watatu kutoka kata ya TINDIGA
walifungwa miaka 30..Wana afya njema na wanawasalimia sana ila wanalalamika tu hali sio nzuri kabisa kule ndani..
Mbunge wa Jimbo la Mikumi
Joseph Haule
View attachment 471930