Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,596
- 1,192
MBUNGE NGASSA: "HONGERA RAIS DKT. SAMIA, HONGERA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)"
" .... Jana Wizara ya Nishati, Waliwasha Mtambo namba 9 kwenye Bwana la Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kwa ajili ya kuingizi Megawati 235 kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa. Leo Wizara ya Uchukuzi kupitia Shirika la Reli (TRC) imefanya majaribio ya Treni ya kisasa kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro (SGR)..."
"... Tunatoa pongezi zetu kwa Rais Wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha Miradi hii mikubwa ya kielelezo na kimkakati inakamilika kwa wakati. Miradi yenye tija kubwa kwenye kukuza uchumi wa Nchi na kuongeza pato la Taifa..."
"... Wananchi wa Jimbo la Igunga, Tunampongeza Rais Wetu, Tunakipongeza Chama Chetu, Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa utekekelezaji madhubuti wa Ilani ya Uchaguzi..."
NICHOLAUS GEORGE NGASSA
MBUNGE WA JIMBO LA IGUNGA