Fredrick Nwaka
Member
- Jul 8, 2013
- 50
- 74
Uchaguzi mkuu wa Tanzania unatabirika sana hasa kutokana na ushawishi wa chama cha mapinduzi. Ni wazi hata uchaguzi mkuu wa 2025 unatabirika japo utakuwa mgumu ikilinganishwa na ule wa 2020.
Ni wazi CCM bado itadhibiti bunge baada ya uchaguzi mkuu wa 2025. Hili ni kweli ndugu zangu (si mnakumbuka msema ukweli ni mpenzi wa Mungu?).Hata hivyo ninatazama kuwa huenda idadi ya wabunge wa upinzani ikaongezeka.
Sasa ni Mbunge gani ambaye unaamini hatarudi bungeni 2025?