Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,763
- 2,364
episode ndani ya series....
Kwani wewe ndio Mbowe.?huyu malizaneni wenyewe
Kwani wewe ndio Mbowe.?
Hakuna kabisaSamahani kuna uhusiano wowote kati ya huyu jamaa na raisi wa kwanza wa nchi hii?..au wamefanana majina tu?..
We weka tu bado hawana password ya jamiiforum. Halafu nilidokezwa kuwa siku wakiipata kwa jinsi jamaa walivyojipanga mmoja wao atabofya tu ka buton kamoja na kureset kilakitu to empty yaani ni zaidi ya kuflash simumi ningeiweka..lakin si wajua tena makosa ya mtandao..
unaweza sambaza ujumbe..mwsho wa siku inakula kwako..
Sasa mkuu msanii akifanya makosa aachwe kisa alikuwa mpiga kampeni?acha sheria ifanye yake.Jamani Steve Nyerere sindio wasanii walioipigia debe CCM? Leo imekuwaje?
mkuu bado ni tetesi tu?Anashikiliwa kujibu kile kinachosambaa kwenye zile audio tatu zilizosambazwa ambapo kawaongelea viongozi mbali mbali
Habari kamili zitawajia hivi punde