Poleni kwa msiba. Lakini tuwe wakweli jamani hivi hiki ni chama au saccoss ?
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe amesema alipopata taarifa ya kifo chaMbunge wa zamani wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo alijaribu kumzuia mtoto wa marehemu, Lucy Owenya asichangie bungeni lakini alishindwa.
Mbowe ameyasema hayo leo Jumatano wakati akilitangazia bunge kuhusu kifo cha Mwenyekiti huyo wa Chadema, mkoa wa Kilimanjaro. Owenya ni mbunge wa viti maalum wa chama hicho na mtoto wa kada huyo mkongwe wa Chadema.
"Ilipofika zamu yake kuchangia nilimruka hata akalalamika inakuwaje wakati alitakiwa atoe maoni yake. "Tushirikiane na familia ya marehemu ambaye alihudumu kwenye bunge hili kukamilisha taratibu zilizobaki,"
amesema Chenge.
Kifo hakijali umri linawezatokea kwa yeyote na wakati wowoteBro; ukishavuka 70/75 hii miili ina complications sana. Anything can happen unexpectedly. Unaweza kuwaaga wajukuu sebuleni naingia chumbani kupumzika tena kwa bashasha na ikawa for good. Bwana asema, kesheni mkiomba maana yuaja kama mwivi.
Nimesikitika sana, amefariki wakati akitimiza azma yake ya kuwafariji wenye uhitaji (Alikuwa anasaini cheque kwa ajili ya rambirambi kwa watoto wa Lucky Vinsent wakati wenzake walijaribu kuchangia wakiwemo viongozi wa dini Gambo akawasweka ndani) . Ila hili suala Gambo alishalipiga marufuku sasa sijui atajifaragua na nini kwamba Mzee Ndesa alikuwa mtu wa watu. Ngoja Tuone wala rambirambi wasivyo na mishipa ya aibu watatoa kauli gani kwa Mzee wetu.Ndiyo kwa sababu Hayati Mzee Ndesamburo alikuwa mzima wa Afya kabisa.
Mkuu wa Mkoa upi?Rambirambi akija mkuu wa mkoa zinageuka Lambalamba
Ha ha ha haaaa.. Habari yako mrembo wa kipare, hiyo Avator yako ndio imemuingiza Mkenge huyo Mkuu hapo juu.Ahsante ila mie sio Bro
hahahahahahahhahhaha kwikwikwikwi tehe tehe teheHa ha ha haaaa.. Habari yako mrembo wa kipare, hiyo Avator yako ndio imemuingiza Mkenge huyo Mkuu hapo juu.