Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,082
Chanzo Gazeti la Chama
Hilo tusi omba wasilizingatieChanzo ni toilet paper inaitwa :Uhuru...hii inafaa kwa matumizi ya choo si ubongo
ni mjinga peke yake anaefurahia akiona sekta binafsi ikianguka na watu kukosa kazi.Kila goti litapigwa. Ukanjanja hauna nafasi katika kipindi hiki. Watasafishika wote. SAFI SANA MHESHIMIWA MAGUFULI.
Umetufanya watanzania tuanze kuheshimiana. Mwenye nacho na asiyekuwa nacho sasa tunaanza kukaribiana ukilinganisha na ilivyokuwa hapo mwanzo.
MUNGU AKUBARIKI MHESHIMIWA MAGUFULI.
We km ni masikini Kwa uvivu wako endelea tu kuwa masikini wenzio wanatoboa tu hawaangalii ugumu wa maisha.Kila goti litapigwa. Ukanjanja hauna nafasi katika kipindi hiki. Watasafishika wote. SAFI SANA MHESHIMIWA MAGUFULI.
Umetufanya watanzania tuanze kuheshimiana. Mwenye nacho na asiyekuwa nacho sasa tunaanza kukaribiana ukilinganisha na ilivyokuwa hapo mwanzo.
MUNGU AKUBARIKI MHESHIMIWA MAGUFULI.
Hvi mbowe amekukosea nni maana kila thread ya Mbowe leo unaweka comment hasi... hvi unafkiri kma mbowe angekuwa mkwepa kodi hadi leo kweli ccm wangekuwa hawajamfunga jela kweli au kutaifisha hoteli zake??? Maana kma kauli zao tu wanaitwa wachochezi je wakipata sabbau kubwa kma hii unafkiri wakina nape wasingezunguka nchi nzima kumuita mbowe fisadi??? Think before u commentKila goti litapigwa. Ukanjanja hauna nafasi katika kipindi hiki. Watasafishika wote. SAFI SANA MHESHIMIWA MAGUFULI.
Umetufanya watanzania tuanze kuheshimiana. Mwenye nacho na asiyekuwa nacho sasa tunaanza kukaribiana ukilinganisha na ilivyokuwa hapo mwanzo.
MUNGU AKUBARIKI MHESHIMIWA MAGUFULI.
Dr slaa aliondoka hta kabla ya uchaguzi na je uchaguzi ilikuwaje?? Kura zilipunguwa au zilipanda?? Kwani slaa alikuwepo kwenye kampeni?? Mbona tulishinda??Hivi Chadema bado ni chama kweli?
Tangu Dr. Slaa aliondoka na chama hicho mfukoni.
Maji ya mifukoni tayari yamesha kukamata