Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Duh hyo itakuwa vita sasa polisi na wabunge wa upinzani maana upnzani watatolewa kla sikuNdugai aongeze polisi bungeni pawe kama kibiti
Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe na mbunge wa jimbo la Hai amewaagiza wabunge wote wa upinzani kutokukaa kimya.
Amewapongeza pia Mbunge wa kawe, Halima Mdee na Mbunge wa Bunda Ester bulaya kwa kutoogopa na kisimamia haki bungeni kwa kusema waliyoyaona.
Pia amesema kuna uhuru wa kuhoji viongozi pale wanapokosea na sio kila mara kusifia tu, wabunge wote wa upinzani ni wakati sasa wa kusimamia haki na kutokufunga Midomo tuwapo bunge au nje ya bunge..
Nini maoni yako??
Ndugai aongeze polisi bungeni pawe kama kibiti
Hlo ndo balaa kabsaAu alete FFU kabisa
Anasema wasifunge midomo inamaana waseme wanachoamni ni sawa kwaoBaada ya kumaliza kutetea mfisadi, amehamia kutetea watukana matusi!!!
Baba wema bwana
Hivi ile mahakama ipo?Baada ya kumaliza kutetea mfisadi, amehamia kutetea watukana matusi!!!
Baba wema bwana
Hahahaha AyatollahAyatollah keshaongea!
Hahahaha kazi kweli kweliBaada ya kumaliza kutetea mfisadi, amehamia kutetea watukana matusi!!!
Baba wema bwana
Kwanini mkuu?imekosa majaji?Ipo mkuu lakn haifanyi kazi