kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,336
- 21,435
Mpaka sasa hajui wapi ni sahihi kuongea kama alisalimia tu akakamatwa sasa hapo akimaliza mjadala wajomba si watakuwa nje wanamsubirKwani mijadala ya kwenye TV imekatazwa?
Mpaka sasa hajui wapi ni sahihi kuongea kama alisalimia tu akakamatwa sasa hapo akimaliza mjadala wajomba si watakuwa nje wanamsubirKwani mijadala ya kwenye TV imekatazwa?
Kamanda wa anga anakuwaje muogaMpaka sasa hajui wapi ni sahihi kuongea kama alisalimia tu akakamatwa sasa hapo akimaliza mjadala wajomba si watakuwa nje wanamsubir
Wanamfahamu fisadi Papa.
Tatizo ni kwamba kawashika pabaya.
Lowassa pekee anatosha kuundiwa mahakamaUnadhani hiyo mahakama itamgusa mtu yoyote wa Chadema? Nitajie Mafisadi 5 wakubwa ambao hawajapita ndani ya CCM?
Subiri kama hamjui speed Magufuri, fisadi papa atanyea pipa siku mojaFisadi mkuu mliyeshindwa kumpeleka mahakamani karinu mwongo mzima...u must be joking....Nape alituambia lowasa ni Gamba ..fisadi...cha ajabu hakuna hatua mmechukua.........CCM chuo na kambi ya mafisadi .......
Pole kama humfahamu .huyu fisadi papa ndo nani
UNAONGELEA WAPINZANI WETU WALIOUZA ASSET YAO KUU YA KUKEMEA UFISADI WAKAMPA JPM?SASA HIVI WANATAFUTA ASSET NYINGINE YENYE DHAMANI HAWAJAPATA,WANATAKA WAIBUKIE KWA NAIBU SPIKA KWAKIZINGIZIO ETI ANAWANYIMA DEMOKRASIA HAWANA MPYA SASA DR SLAA WATAENDELEA KUMKUMBUKAWapinzani kwa sasa wanatetea na kusema bora demokrasia kuliko mafisadi.
Kweli ni Tanzania tu ambapo mwanasiasa wa upinzani anatamani demokrasia ya kumiuita rais na serikali yake ni dhaifu kuliko kuziba mianya wa ufisadi.
- Mafisadi hawa hawa waliokuwa wanalipwa mishahara 17?
- Mafisadi waliofanya umeme uwe shida nchini?
- ....
- ....
- ....
Huu ni uongo ambao ninyi mnaojiita wapinzani hata hamsomi nyaraka na kuelewa, umeelezwa na Zitto ukaamini. Soma hotuba ya bajeti uelewe acha kuamini uongo wa spent force politicians.umepokea mshahara wako umeshakatwa kodi halafu unaenda kununua umeme unakatwa kodi kila unaponunua.
Ni kwa nini kampuni ya umeme isilipe kodi kwenye faida yake inayopata baada ya kutoa gharama zake.