Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,647
- 75,837
Kapuku huyo member mpya amaCc couples
Kapuku huyo member mpya amaCc couples
Tangu uanze kumeza vidonge ovadozi hujaaga tu?Ni ' Mfukunyuku ' na ' Mnakunaku ' niliyetukuka. Popoma ' Shangazi ' yako!
me nasubiria mtoto tuJiwe limerushwa gizani alafu nimejikuta nasema "yalaaaaaaa" (limenipata)
Hahahah shemeji una mambo sana aisee...
The Bolds tuko gado kabisa shemeji and stronger and more in love kuliko kipindi chochote kile...
The thing is sasa hivi muda mwingi tunakuwa tuko pamoja so maongezi yetu tunayafanya face to face and hai-make sense tukichit chat humu majukwaani muda wote wakati tuko wote hapo tulipo... tofauti na mwanzoni ambapo tulikuwa tunaonana mara chache kwa hiyo kila tukikutana kwenye nyuzi yoyote lazima makhaba na kubebishana kuwe on fleek..
To make a long story short... Ni kwamba huu ni mwezi wa pili tuko wote pamoja.!! Nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja, shuka moja and oooohh yeaaahh mwili mmoja..
Kupitia hizo Raba Noah nyeusi inaweza kubisha hodi hapo nyumbani kwao.Jiwe limefika ' kunako '. Raba zenu nzuri sana.
Asante mkuu,lazima utakuwa smart na mwenye busara kuliona hilo.Nifah couple yako ni tofauti na zingine.
Haina utoto . Ni watu mpo serious na mambo yetu.
Tulieni tungeni vitabu tu, tununue tupate raha.
Daaaaaaaamn! Kumbe bado kuna watu waelewa hivi humu JF?Hii ndio serious couple inayojulikana, zile nyingine za watoto achana nazo.
These are matured and real, others are either joking or fake.
Hahahah!! Soon, inshallahme nasubiria mtoto tu
aminaHahahah!! Soon, inshallah
Wewe miss chagga wewe?nime wahack bado wapo moto moto hata jf picha kitambaa hapatikani sana.. sema juzi walipishana kidogo kuhusu sehemu ya kwenda ila wapo pouwa............ ila natoa hotuba yupo yupo jf ...............
Ha ha ha kwema ndugu yangu usemayo ni ya kwel na unajua mapenz ya siku ya kwanza yanakuwa matamu sana, we ndugu yangu kama hisa za vodacom kwa siku unaweza kuwa na wateja zaid ya kumi utaanzaje kuleta mbwembweAsalaam.
Mapenzi kuna kuchokana. Wengine kapo zetu toka tunajiunga JF hazihesabiki ila naona wengine wapo serious kuzidi wengine
Amen brother.!Ha ha haaaa.. Eti The bold Natoa hotuba... Ha ha ha haaaaa... By the way hongereni Sana Wakuu, ukishikwa shikamana! Maisha yenyewe mafupi haya, kuleni Tu raha Wakuu, sasa tunasubiri MTOTO ASAP, msituletee mambo ya "badomda" , na huyu mtoto itabidi aitwe Maxence if ni wakiume, Ikiwa kinyume chake mtamuita jina halisi la miss chagga, Mungu awatangulie na awafanyie wepesi... Nifa wa The bold
...wewe utakuwa unawaongelea wale mandezi ambao kila mtu akicomment lazima am-cc mwenzie!Povu la soda lilikua mkuu, halaf unajua nn kuna kitu kilikua kinanifanya mm niamn kwamba yule ni mtu mmoja ana ID mbl. So alikua anajitekenya then anacheka mwenyewe sa iv kachoka
Soon kutakuwa na mtoto mmoja acha tuombe kheriJiwe limerushwa gizani alafu nimejikuta nasema "yalaaaaaaa" (limenipata)