Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,703
- 239,277
Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba, Uongozi ni Kuongoza Njia, hii ina maana kwamba unapokuwa kiongozi unapaswa kuwaongoza waliokupa dhamana hiyo.
Tofauti na Viongozi wengi waliojitokeza kujiandikisha huko Dodoma Bwana Sugu yeye aliambatana na Mke wake
Katika Hotuba fupi aliyoitoa baada ya zoezi hilo kukamilika, Mwenyekiti huyo wa Kanda amewataka wakazi wote wa Mbeya na Wananchi wote kujitokeza kwa wingi kujiandikisha, kwa vile hiyo ndio njia pekee ya kumshinda Shetani.