figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Salaam Wakuu
Ninacho jua, Watawala hawawezi kuwanyamazisha Watu wa Mbeya.
Watu wa Mbeya ni wapole ila ni watu wenye Ushirikiano na kupendana pia. Hawaogopi wala kutishwa.
Tangu enzi la Nyerere Mbeya imejijengea sifa hiyo.
Waliomkamata Sifa walijua wamemaliza. Bado sana na ndo kwanza kumekucha.
Siasa ya Nchi hii ni ngumu sana na hii Nchi ni Ngumu. Mbeya Mara na Arusha Baba yao mmoja.
Tulia Ackson kaanza kwa Mguu wa kushoto kwenye hili.
Pia soma;
Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
Thread 'Kisa cha Kikwete kupigwa mawe huko Jijini Mbeya' Kisa cha Kikwete kupigwa mawe huko Jijini Mbeya
Thread 'Vurugu kubwa zazuka Chunya-Mbeya wananchi wadai madini yao!' Vurugu kubwa zazuka Chunya-Mbeya wananchi wadai madini yao!