Mbao wadai mwamuzi aliwanyonga

Dada nenda kaandae futari mpira waachie wenyewe unafaham offside inatokeaje?Mbumbumbu fc ww
 
Goli la mbao la kusawazisha nalo lilikuwa offside, kwanza mchezaji wa Mbao alimshika beki wa Simba isipige kichwa na yeye kupiga mpira ambao ulimkuta mfungaji akiwa ameotea kibendera alinyanua kibedera lakn refa aliacha
 
Mbona Azam Tv walionesha tukio mubashara na wote tulishuhudia mpira ukigonga mkono wa beki wa Mbao bila ubishi kabisa, wanataka kutuambia nini sasa! Ahsante Azam Tv maana kama sio wao hakika ubishi huu usingeisha kamwe kwa jinsi sisi wabongo tulivyo!
Mpira ulifuata mkono au mkono ulifuata mpira?
 
Back
Top Bottom