Maziwa kwa mtoto

Tafuta mfugaji aliye na ng'ombe Wa maziwa. Awe anakupatia maziwa ya ng'ombe huyohuyo. Usichanganye maziwa ya ng'ombe wengine.

Pia mpe lishe bora mama.
Maziwa ya ng'ombe inashauriwa apewe mtoto mwenye umri wa mwaka na kuendelea, jamani katoto kadogo hako kasifanyiwe majaribio ohoo.
 
Tafuta mfugaji aliye na ng'ombe Wa maziwa. Awe anakupatia maziwa ya ng'ombe huyohuyo. Usichanganye maziwa ya ng'ombe wengine.

Pia mpe lishe bora mama.
Hatari
Ngoja ampe maziwa ya kopo halafu kesho aje aseme mtoto hajapata choo siku saba. Maziwa ya kopo ni last option. Kikubwa mama aendelee kumpa ziwa mtoto anyonye, kuchelewa kutoka kwa maziwa ni jambo la kawaida sana kwa uzazi wa kwanza. Kikubwa mama ale vizuri na anywe maji ya kutosha. Pilipili manga wanasema husaidia sana kushusha maziwa.
Kawaida hiyo kwa maziwa ya kopo
 
Back
Top Bottom