Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,484
Hakuna aibu kusema yaliyopitaNi aibuuu jmnn ila was left wth no choice
Bazazi
Hakuna aibu kusema yaliyopitaNi aibuuu jmnn ila was left wth no choice
SijuiWajinga na akina nani mkuu?
Wanawake hawajui tu, habari ya kuhadidhiana mbaya sana, kuna mdogo mtu nilimkimbia, alikua kicheche hatari afu kuna jamaa aliwahi kua nae walidai aliukwaa, kalikua kananivutia mno lkn nkikumbuka ukimwi dudu inanywea fast, nkaja mkataza dada ake asiwe anawahadidhia marafiki zakeNikitubu.. .....
Niliwah kua na mahusiano na mchaga wa marangu. Bidada mweupe, kajaa nyama, mzuri kiukweli ni mzuri sana wa umbo, sura macho mazuri sana daahh, alafu alikua nahips zimekimbiana .
Alikua mtoto wakishua sana, Baba yupo JWTZ anga..Mama yupo TTCL kwao wamezaliwa mademu watatu na kijana mmoja.
Basi mimi ndo mwaka wa kwanza Chuo, nayeye pia.
Nilikua nmepanga geto , sasa bana akawa anakuja geto, yeye hajui kupika, hajui chochote hata kufua, ivo ikawa inanilazimu mimi kumpikia n.k..
Akishakula, naanza kumfanya massage, namchua chua, unyayon mpaka nyweleni, +mbwembwe za hapa napale, kisha nakula mzigo, mzigo namkaza kisawasawa mpaka anasema "G wewe Kiboko yangu".
Kumbe yule demu, akirudi kwao anaanza kuwasimulia Madada zake mwanzo mwisho, (kama kuwatambia) basi, madada mtu wakawa nahamu ya kutaka kuniona,
Maajabu kila mmoja akaanza kunitafuta kwa muda wake, et wakisema "wanataka waone ninachomfanyia ndugu yao".
Sasa namm kwaule ujana... Kila mmoja akawa anakuja kwa muda wake, namfanyia vilevile, ila suala la mzigo nikawa nachenga, lkn wao wakawa wananilazimisha.
Mwisho, Nikala Dada zake wote,, nikala na mdada wao wa kazi .
Kimbembe siku moja kikanuka , aisee waligombana mbaya, waligombana, mpaka mzee wao akaamua kuwatenganisha kimakazi .
Ila Aisee nilifanya ujinga, yule mchaga alikua ananipenda, Mama yake alikua ananikubali sana , nilikua nikimuhitaji, namwambia mama yake, mama anampa ruhusa yakuja !!
Nkawa nmemkosa yeye ivo
Zaidi ya sana mkuuMwanamke akisimulia haya mambo yananogaga sana aisee
Mama, mama mdogo, na mtoto wao tena threesome....
Sijui