Wakiwa na miezi 6 +Hii bei wakiwa na umri gani?
Mkuu mob naomba nije nikutafute nijifunze kwako naomba uweke namba yako tupo wengi tunaotamani mabukini
Mkuu mob naomba nije nikutafute nijifunze kwako naomba uweke namba yako tupo wengi tunaotamani mabukini
Perkins ndio wanyama gani?Mkuu naomba uanzishe uniadd nitachangia mimi nafuga bukini na Perkins
Umevutiwa na bata hewa usio wajua??Jamani me naombeni picha ya hao bata maana siwajui ila nmevutiwa nao sana
mkuu kuna tofauti?Mkuu naomba uanzishe uniadd nitachangia mimi nafuga bukini na Perkins
Kiswahili bukini kiingereza geese or goosemkuu kuna tofauti?
nijuavyo mie bukini ni kiswahili na Perkins ni kiingereza.
Kaka uko serious ninao nauza 180,000 wana kilo NaneWazee mimi nataka bata bukini watano kwa ajili ya kula.
Mkuu J33Nimenunua mayai 10 ya bata Bukin nitaka nipekeke yakatotolewe kwenye incubetor ila sijajua yatatotolewa kwa mda gan naomba kama kuna anayejua anifahamishe.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mmh ok ila geese ni wale bata maji.Kiswahili bukini kiingereza geese or goose
Mkuu,mmh ok ila geese ni wale bata maji.
For the Chinese , see Peking duck.Mkuu,
Tafadhali nakuomba: uache kupotosha statement za watu, unaonyesha wewe ni mtu usielewa na hupendi kuelewa.
Unamwitaje goose bata maji? Bukini ambaye ni goose hapendi maji.
Mi naona hili likupite utapotosha nyuzi za waelewa.
For other uses, see Goose (disambiguation) .Mkuu,
Tafadhali nakuomba: uache kupotosha statement za watu, unaonyesha wewe ni mtu usielewa na hupendi kuelewa.
Unamwitaje goose bata maji? Bukini ambaye ni goose hapendi maji.
Mi naona hili likupite utapotosha nyuzi za waelewa.
Niko serious aisee ila bei si mchezo. 100000/= kila mmoja inawezekana?Kaka uko serious ninao nauza 180,000 wana kilo Nane
Niko serious aisee ila bei si mchezo. 100000/= kila mmoja inawezekana?