Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 85,376
- 167,531
Wacha we!!Uoga wa maisha na ki ufupi sitaki mwanamke mtumishi
Wacha we!!Uoga wa maisha na ki ufupi sitaki mwanamke mtumishi
Mmmmmmh!!!Kwa wanaume hasa hasa ni uoga
Wa maisha
Mimi ndio mtatfutaji wa pesa na mali nyumbani siji kuoa eti kisa nataka mtelezo kwenye mambo flan hivi
Unaolewa wewe na kazi yako....! Over..%Anakuwa amenioa mimi au kazi yangu?
Mapenzi ya hivyo yapo?
Unakila sifa yakua wife materialAnakuwa amenioa mimi au kazi yangu?
Mapenzi ya hivyo yapo?
Kawa mta weka majigamboMaisha ni mziki ambao kila mtu anaucheza kwa style yake, tunafeli mziki huu kwa kukopiana style. Mkiona kwa mapenzi na mkimweka Mungu mbele atawaongoza.
hyo ndo habari ya mjini asee, mi mwenyewe nawinda mtumishi hapa. . . upate mwalimu au mjeda. . . .swaaf
Vigezo unavotaka tafadhalisiku akitokea mtu anataka mke mama wa nyumbani anitafute
HaahaaMmmmmmh!!!
Wanaume bwana!! Mnachoongea na uhalisia wenu tofautiiiii. Haya.
Haahaa
Tatizo usha tuweka kwa grouo la steve nyerere
Wengine tuna kuwaga wa kweli
Kwahiyo hata yule mwalimu wa sayansi nimuambie tu kuwa mume anamuogopa?
Ukiwa mwanaume usiejiamini na uanaume wako basi kila mwanamke ni hatari kwako. Babu said
Daaah
Hapo naona kama u steve una nijia
Ila inabid tu umwambie hakuna namna
HahahaUkiwa mwanaume usiejiamini na uanaume wako basi kila mwanamke ni hatari kwako. Babu said
Nop, my lovely babu said.Hahaha
Quotes za babu Asprin nn hzo?
Hapo umeongea ukweli hao wana ume wanao oa wafanyakazi hawajiamini kabisa na uanaume wao
Kwani akiwa na kazi tofauti na yako ndo hawi mtumishi?Kuna wakati ukiwa mvivu wa kufikiria unaona ni sahihi kuoana watumishi kwa watumishi ila ukiwa unatazama mbali utapenda uwe na mke/ Mme ambae anakazi tofauti na yako