Mawaziri watoswa msafara wa Magufuli

Makongoro Mahanga aliposema Serikali ni Makatibu wakuu mbona alishupaliwa kama kaiba kengele ya kijiji? Maana kama Waziri Mkuu hakwenda na waziri wa ulinzi badala yake akaenda na Katibu wa Wizara ya Ulinzi, basi hoja ya Mahanga kwamba serikali hata kama ina wizara chache lakini ina Makatibu wakuu wengi bado mzingo wa kuindesha unakuwa mkubwa, ina mashiko!
 
Tuangalie gharama ya Katibu Mkuu na Waziri. Mishahara yao, posho zao, matumizi ya magari ya serikali (mafuta, service, matengenezo), watumishi wasaidizi ofisini na nyumbani nk
 
Tuangalie gharama ya Katibu Mkuu na Waziri. Mishahara yao, posho zao, matumizi ya magari ya serikali (mafuta, service, matengenezo), watumishi wasaidizi ofisini na nyumbani nk
Ni kweli.mkuu.. ila.maneno ya Mahanga na Membe ni maneno ya mfa maji..
 
Tuangalie gharama ya Katibu Mkuu na Waziri. Mishahara yao, posho zao, matumizi ya magari ya serikali (mafuta, service, matengenezo), watumishi wasaidizi ofisini na nyumbani nk
Tofauti yao ni nini hasa. Kwa mfano tunao makatibu Tarafa kwenye kila tarafa ambao hawana kazi ya kufanya kwa kuwa hawana kikao chochote kile wanachokisimamia au kushiriki kisheria na kihadhi wako chini ya Wakuu wa wilaya. Lakini mpishano wa kimaslahi yao na Wakuu wa wilaya ni mdogo mno na ni kama haupo. Katibu Mkuu ana marupurupu Makubwa kuliko Waziri ingawa yeye fursa (Privilege) zake siyo kubwa kulko waziri.
 
Wilaya huwa na Tarafa kadhaa. Sio sawa kulinganisha DC na Katibu Tarafa. Afadhali ya DC na DAS
 
Marupurupu kama yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…