Captain Lelionka
Member
- Oct 26, 2010
- 52
- 29
Hahahahahahah
Budget ina development (maendeleo ), recurrent (kawaida) na Other Charges au OC (matumizi mengine )
Kuna wakuu wana matumizi mabaya. Wanakaa ofisini hadi saa 4 usiku wakitumia umeme wanaongeza bill. Mwenye kazi nyingi zisizoisha muda wa kazi wajenge utamaduni wa kugawa kazi. Karatasi waprint both sides.Hao wanaolalamika wamefikia hatua ya kukosa hata mahitaji muhimu, mfano fedha ya kujikimu ya mtumishi unaibanaje? Karatasi za ream unabanaje matumizi?
Siyo sawa mkuuBudget ina development (maendeleo ), recurrent (kawaida) na Other Charges au OC (matumizi mengine )
Huyo jamaa anazungumza kitu hajuiiiiiiNdugu... Bunge la bajet likianza jaribu kusikiliza mgawanyiko wa fedha za serikali... Then utapata jibu maana inaonekana uelewi unachokisema... Reccurent expenditures ndio Other charges... Hakuna part ya recurrent kwenye programz za kuandaa bajeti ila oc ipo na matumizi yote yenye nature ya recurent yanawekwa kwenye oc
Kuna watu wamepinda kweli hata usemeje hawaelewi. Just imagine mtu anataka mshahara wa CEO uwe sawa na mhudumu au anauliza gharama za Magu kwenda Rwanda na kurudi. Ukiona mtu anaanza kujilinganisha na boss wake jua ana matatizo. Fikiria kabla ya uchaguzi kila mtu alisema JK ni dhaifu tunahitaji dikteta na sasa akina boss na akina Nyani Ngabu wanaonyesha kukerwa na Magu wakisema ni dikteta. Watu bwana you can't them walijisemea wale wa Old moshi siku zile.Msaidie maana inaonekana haelewi vizuri
Nyie ndo mAjipu yenyewe mmeguswa pabaya babake kila kona mmepigwa kufuri,km kazi unaona imekua ngumu just simple tu achia ngazi mapeeemaa kuepusha shari....Hao wanaolalamika wamefikia hatua ya kukosa hata mahitaji muhimu, mfano fedha ya kujikimu ya mtumishi unaibanaje? Karatasi za ream unabanaje matumizi?
Nini tofauti kati ya matumizi ya kawaida na OC? Mishahara ni sehemu ya OC?Ndugu... Bunge la bajet likianza jaribu kusikiliza mgawanyiko wa fedha za serikali... Then utapata jibu maana inaonekana uelewi unachokisema... Reccurent expenditures ndio Other charges... Hakuna part ya recurrent kwenye programz za kuandaa bajeti ila oc ipo na matumizi yote yenye nature ya recurent yanawekwa kwenye oc
Nini tofauti kati ya matumizi ya kawaida na OC? Mishahara ni sehemu ya OC?
OC kirefu chake ni other charges kwa kiswahili ni matumizi mengineyo maana yake ni matumizi ya ofisi ambayo siyo mishahara ya watumishi wala si fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo fedha za OC ni sehemu ya bajeti ya taasisi au ofisi ya serikali kwa hiyo fedha ya OC hutumika kulipa manunuzi ya mahitaji ya ofisi kama vile kulipia ankara za maji,simu,umeme,ulinzi mahali ambapo ofisi imebinafisisha shughuli za ulinzi/usafi wa ofisi nk hutumika kununua mafuta ya magari na matengenezo ya magari pia kulipia huduma kwa watumishi kama vile posho mbalimbali, mazishi, sare kwa baadhi ya kada kusomesha watumishi kuindoa kabisa OC ofisi itaendeshwaje? Ila tu inaweza ikapunguzwa vitu kama posho za vikao zinaweza kuondolewa kupunguza safari zisizo za lazima,kudhibiti matumizi ya simu,umeme maji nkNini tofauti kati ya matumizi ya kawaida na OC? Mishahara ni sehemu ya OC?
OC ni bajeti ya matumizi yote nje ya mshahara. kwa maana nyepesi OC ndio bajeti ya uendeshaji wa ofisi. kama hujui uliza. ujinga ni maradhi mabaya sanaMkuu unajua maana ya oc. Ni other charges. Katika upangaji wa bajet hakunaga kitu inaitwa oc. Kama kuna posho au hela ya mafuta vyote hupangiwa bajet. Kila kitu lazima kiwe kwenye bajet. Huwezi kuweka tu hela pale bilion kumi et oc. Hakunaga bajet ya aina hiyo.
Ni mbinu tu ilibuniwa kuweka hela nyingi kwenye kitu inaitwa oc ili wakizitumia wasiulizwe.
Mm hata sielewi kwann Mawaziri wazima wanasema oc haitoshi. Wakat hela ya mafuta, ya chai, ya nauli, ya kujikimu, ya perfum, sijui air fresh et, yaani kila kikorombwezo inapaswa kuwemo kwenye bajet. Yaani inajulikana chai kwa mwezi ni tsh ngapi. Usafiri kwa mwezi ni tsh ngapi na mafuta kwa mwezi ni tsh ngapi. Sasa oc ya nn.
Kama hawajui kuandaa bajet za wizara zao ni issue ya kuomba training zaid kuhusu namna ya kuandaa bajet. Waende un au us embasy au organization yoyote ya kimataifa watapewa semima ya namna ya kuandaa bajet tena bure.
Sasa ukitaka hela zikae tu pale et oc ili ww uamue tu kutumia bila mpango mwisho wa siku utaona haitoshi kwa sabb haina mpango au utaratibu wowote.
Hata mtu mwingine akitumia ovyo huwezi kumbana kwa sabb ni oc.
Kiuhalisia oc haipaswi kuwepo. Ni uwizi tu. Mwisho utataka bajet yote ya wizara iwe oc ili wenyewe watumie wanavotaka. Wabunge wana mfuko wa jimbo na mawaziri nao wakitaka wawe na mfuko special kwa ajili ya mambo wanayoona kuwa yanapaswa kutengewa bajet. Lakini sio kila kitu et oc..
Hapa kweli panaonyesha upungufu mkubwa wa ujuzi wa masuala ya bajet..
Wizara ya fedha ifanyike mpango wa kuandaa semina kwa mawaziri na makatibu wakuu na wakurugenz wa wizara na taasisi za serikali haraka iwezekanavyo
Kuna rafiki yangu aliajiriwa halmashauri moja kanda ya ziwa, aliambiwa arudi nyumbani mpaka mshahara utakapoingia maana hata fedha ya kujikimu hajapewa, kuna dada wa rafiki yangu yuko wizara ya utamaduni kila siku analia na kaka yake hawajalipwa fedha za kujikimu sababu ya OC, jambo la msingi ni kutoa fedha kwa kuzingatia mahitaji ya halmashauri husika.~~>Hebu tuwekee na mifano halisi .
Mfano.. Wizara gani wamekatiwa umeme au maji??
Wizara gani iliwarudisha wafanyakazi kwa kukosa hela za kujikimu
n.k
Wamezoea kupiga tu hao, wamebanwa wanaanza kulalamika. Au mkuu na wewe ni miongoni mwa wanufaika wa hizo OC?Wasiliana na wahasibu wa wizara na halmashauri yoyote usikie wanavyolia
Mkuu mimi ni raia wa kawaida tu, lakini mfuatiliaji wa nchi yangu inavyokwendaWamezoea kupiga tu hao, wamebanwa wanaanza kulalamika. Au mkuu na wewe ni miongoni mwa wanufaika wa hizo OC?
Huu ugonjwa wa kushangilia kila kitu ni hatari kubwa.Wasiojua wanafikiri fedha za OC NIPOSHO,MAFAGARI ,NA CHAI...!kuna shughuli zingine ni muhimu na hutengwa kama OC! Hat dawa zipo kwa OC!Hao wanaolalamika wamefikia hatua ya kukosa hata mahitaji muhimu, mfano fedha ya kujikimu ya mtumishi unaibanaje? Karatasi za ream unabanaje matumizi?
Maelezo mazuri kabisa. Je budget huwa na matumizi ya kawaida ambamo mishahara huwekwa? Nimebishana sana na mleta maada kuhusu hili.OC kirefu chake ni other charges kwa kiswahili ni matumizi mengineyo maana yake ni matumizi ya ofisi ambayo siyo mishahara ya watumishi wala si fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo fedha za OC ni sehemu ya bajeti ya taasisi au ofisi ya serikali kwa hiyo fedha ya OC hutumika kulipa manunuzi ya mahitaji ya ofisi kama vile kulipia ankara za maji,simu,umeme,ulinzi mahali ambapo ofisi imebinafisisha shughuli za ulinzi/usafi wa ofisi nk hutumika kununua mafuta ya magari na matengenezo ya magari pia kulipia huduma kwa watumishi kama vile posho mbalimbali, mazishi, sare kwa baadhi ya kada kusomesha watumishi kuindoa kabisa OC ofisi itaendeshwaje? Ila tu inaweza ikapunguzwa vitu kama posho za vikao zinaweza kuondolewa kupunguza safari zisizo za lazima,kudhibiti matumizi ya simu,umeme maji nk
mkuu dawa haitengwi kupitia OC inatengwa kupitia Dev fund, humu watu wanajadili vitu kwa jinsi wanavyosikia sio kwa jinsi ilivyoHuu ugonjwa wa kushangilia kila kitu ni hatari kubwa.Wasiojua wanafikiri fedha za OC NIPOSHO,MAFAGARI ,NA CHAI...!kuna shughuli zingine ni muhimu na hutengwa kama OC! Hat dawa zipo kwa OC!