Umoja Wa amawakili Mkoa Wa Arusha wamendeleza utamaduni wao Wa kurudisha Kwa Jamii Kila mwisho Mwaka,na Mwaka huu wametembelea vituo vya kulea watoto yatima viwili Cha kwanza ni Nkoaranga Orphanage Kilichopo wilayani Arumeru na Kituo cha Ole Ndege Orphanage Center Kilichopo Namanga Wilayani Longido Mkoani Arusha.
Mawakili hao wamepeleka Zawadi Mbalimbali Mbalimbali Kwa watoto hao zikiwemo Unga,Mchele,Mafuta,Maziwa Magodoro na Kadhalika.