Mawakili Arusha wametembelea vituo vya kulea watoto yatima viwili

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
3,714
13,464
Umoja Wa amawakili Mkoa Wa Arusha wamendeleza utamaduni wao Wa kurudisha Kwa Jamii Kila mwisho Mwaka,na Mwaka huu wametembelea vituo vya kulea watoto yatima viwili Cha kwanza ni Nkoaranga Orphanage Kilichopo wilayani Arumeru na Kituo cha Ole Ndege Orphanage Center Kilichopo Namanga Wilayani Longido Mkoani Arusha.

Mawakili hao wamepeleka Zawadi Mbalimbali Mbalimbali Kwa watoto hao zikiwemo Unga,Mchele,Mafuta,Maziwa Magodoro na Kadhalika.

 
Back
Top Bottom