Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Hiyo ndo sheria ya tiba mavaz lzm yawe mafupi saiz ya kati ya paja kama ni gauni ili asiweze kuzoa maambukizi wakati wa kuhudumia wagonjwa kwa kuwa vazi linaweza kusambaza maambukizi hasa hospSerikali inabidi ipige marufuku hawa manesi wa Hospitali za umma kuvaa magauni mafupi wanawatia majaribuni wagonjwa wa kiume,yani unakuta nesi anaenda kumuhudumia mgonjwa kavaa gauni fupi ana guu la maana laini linang'aa Sasa huku ni kuwapa majaribu wagonjwa wetu ukizingatia wagonjwa wengine wamekaa hospital miezi mingi wana ukame.Nawasilisha kilio changu
Mmhhh. Yaani hata kilichokupeleka umeshakisahau.Ndio situation ninayo pitia kwa sasa
Na enjoy sana nimemleta mgonjwa wangu kwenye hospital moja hapa
Mimi ndio namuuguza so far anaendelea vizuri ila Mimi na deal na manesi tu
Mbona hakuna picha?Serikali inabidi ipige marufuku hawa manesi wa Hospitali za umma kuvaa magauni mafupi wanawatia majaribuni wagonjwa wa kiume,yani unakuta nesi anaenda kumuhudumia mgonjwa kavaa gauni fupi ana guu la maana laini linang'aa Sasa huku ni kuwapa majaribu wagonjwa wetu ukizingatia wagonjwa wengine wamekaa hospital miezi mingi wana ukame.Nawasilisha kilio changu
Wanachezea kuumwa hao mumy.Utakuwa hauumwi yani ukute una maumivu ya ngiri,kufua kimekubana au una jibu uchungu la kwapani kweli utapata ujasiri wa kumuangalia huyo nesi hadi akutie majaribu?