sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 2,924
- 8,427
- Thread starter
- #41
Many thanks
Vita ya kuacha /kuachwa na mpenzi haijawahi kuacha mtu salama
Kwa hiyo hii nayo ni kauli ya Bashite?Vita ya kuacha /kuachwa na mpenzi haijawahi kuacha mtu salama
huko sipo sasaKwa hiyo hii nayo ni kauli ya Bashite?
Visasi havina faida dunia ya leo sana sana kujipotezea mda tuu na watu wasiokua na faida, no body is perfect huenda tuu mpenzi wao katosheka na wewe au kuna mwenzio kakuzidi kete.Ndugu zangu mpenzi wangu ameniacha. Sijamkosea chochote ameamua tu kuondoka mbaya zaidi ananikashifu na kunipiga vijembe kwenye WhatsApp status zake.
Mwanzo nilidhani masihara lakini naona yupo serious ameondoka ameenda kwa mwingine. Nisichojua ni kwamba nimemkosea nini nilijaribu kumuuliza akanijibu vibaya akishajibu vibaya anani text tena nimsamehe mimi na yeye hatujagombana anaomba tusiwe na ugomvi.
Kwa kweli sijui kosa langu japo sometimes tulikuwa tunagombana anasema namfatilia sana simuamini. Mimi nimemkaushia japo naumia anataka kuja kwangu kuchukua vitu vyake nikitaka nivipeleke kwake au somewhere anapoweza vichukua ataki anataka avifate kwangu nikikataa anatoa lugha Kali, kwa hili pia sielewi lengo lake .
Kingine mimi nimeamua kumsahau lakini aachi kunipiga vijembe Watsapp ananichoresha kwa watu as if mimi kwake nilikuwa nothing japo tumepitia mengi mazuri.
Kiukweli inaniumiza inaniumiza kwa kuwa kaondoka wakati bado nampenda na inaniumiza zaidi hivyo vijembe vyake wakati mimi nimekaa kimya simjibu.
Nipeni ushauri kwenye mawili
Moja, nifanyeje ili nimsahau mapema ni-move on.
Pili, kama na mimi nikilipizia nitakuwa nakosea kumrusha roho pia?
Ila we boya kweli..
Kubali aje kuvifuata getto akija mchenjie mpige mechi ya nguvu yan ile ya fujo ataondoka bila kuchukua vitu vyake na atataka aje tena siku nyingne kuvichukua ufanye hivyohvyo at the end mtajikuta mmerudiana..
Kama gharama za kuachana nae huwezi kuzimudu ni bora uingie gharama ya kurudiana nae kwa namna yeyote ile...
i.e.. Hapo kwenye kupiga MECHI ya nguvu sismdhani kama utaweza kama wewe ni Mwanaume wa Dar..
Duh hii situation naifahamu sana hapo kwenye nyekundu nguvu ya kuogelea utaipata wapi yakikukuta na hiyo ya movie ndio itakuchanganya kabisa hasa utakapowaona wamenzi wawili kwenye movie itakukumbusha maumivu tena mkuuNakuelewa sana mkuu. Na ukiona hapa jukwaani mtu anakubeza basi hajawahi penda kwa dhati.Na hayajamkuta
Jitahidi kutokaa peke yako. Kama upo jirani na swimming Pool unaweza kwenda kuogelea. Hata kwa kukaa tu kwenye maji na kutoka. Tazama movies.
Usifuatilie kabisa, Yaani kwepa kujua habari za huyo mpenzi wako. Maana zitakuumiza sana.
KATA SHSURI KUWA AMESHAONDOKA NA HSTORUDI. Usipowaza hivyo utaendelea kusubiri na hutomsahau. Utakuwa unajipa matumaini hewa yatakayofanya usimsahau Kirahisi. MSAHAU, MKATIE TAMA YA DHATI USONGE MBELE. Najua ni ngum lakini vumilia
Asante kwa kunielewa mkuu. Maana wengine wanasema Mimi mwanaume gani pasipo kuelewa huyu sio demu wangu wa kwanza ni vile nilimpenda sana.Nakuelewa sana mkuu. Na ukiona hapa jukwaani mtu anakubeza basi hajawahi penda kwa dhati.Na hayajamkuta
Jitahidi kutokaa peke yako. Kama upo jirani na swimming Pool unaweza kwenda kuogelea. Hata kwa kukaa tu kwenye maji na kutoka. Tazama movies.
Usifuatilie kabisa, Yaani kwepa kujua habari za huyo mpenzi wako. Maana zitakuumiza sana.
KATA SHSURI KUWA AMESHAONDOKA NA HSTORUDI. Usipowaza hivyo utaendelea kusubiri na hutomsahau. Utakuwa unajipa matumaini hewa yatakayofanya usimsahau Kirahisi. MSAHAU, MKATIE TAMA YA DHATI USONGE MBELE. Najua ni ngum lakini vumilia
Gharama za kumrudia ni kubwa kwa kweli kwanza naanzaje wakati yeye ndio kaenda.Ila we boya kweli..
Kubali aje kuvifuata getto akija mchenjie mpige mechi ya nguvu yan ile ya fujo ataondoka bila kuchukua vitu vyake na atataka aje tena siku nyingne kuvichukua ufanye hivyohvyo at the end mtajikuta mmerudiana..
Kama gharama za kuachana nae huwezi kuzimudu ni bora uingie gharama ya kurudiana nae kwa namna yeyote ile...
i.e.. Hapo kwenye kupiga MECHI ya nguvu sismdhani kama utaweza kama wewe ni Mwanaume wa Dar..
Mkuu baada ya kuniita nyangau umepata nini?Wacha ufara nyang'au ww tafuta pesaa
Sasa unakuja kulia jf huku kwa great thinker ndio kademu kako kamerudi au nyang'au ww fanya kaaazi.Mkuu baada ya kuniita nyangau umepata nini?
Mkuu Mimi nna kazi yangu nzuri tu usipate shida kabisa na kilio changu hapa.Sasa unakuja kulia jf huku kwa great thinker ndio kademu kako kamerudi au nyang'au ww fanya kaaazi.