Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 445
Mauaji ni mauaji. Kumuua jambazi mmoja duniani hakupunguzi idadi ya wauaji..
Well said. Kuna kiongozi wa upinzani aliongea maneno ambayo wenye akili zetu kubwa tulibaini uwezekano wa mauaji hayo kuwa ni project.Kwa jinsi mauaji yanavyofanyika mkoa wa Pwani nadhani ni ujumbe mzito kwa Serikali toka awamu ya nne.
Wauaji wanaua Polisi,Mgambo,viongozi w Serikali za mitaa na viongozi wa CCM tu na hawagusi kabisa wake zao wala watoto wao wala ndugu wa familia zao.
Kwa mtazamo wangu hapa Kuna kazi kubwa ya kufanya kujua root cause lakini sidhani kabisa kama ni uhalifu kama nilivyoeleza ktk kichwa cha mada.
Wauaji wameamua kuchagua eneo la mkoa wa Pwani kutokana na jiografia yake ilivyo ikiangalia Mkuranga,Kibiti na Ikwiriri ni rahisi sana watu wenyewe nia mbaya kutua kimkakati kufanikisha nia yao.
Serikali Inahitaji intelejensia ya ziada kapata root cause.
IGP kutangaza 10 mil hakuna atakayeichukua kwasababu hakuna atakayekubali kuuwawa kwa 10mil kutokana na wapewa siri kutotunza siri.
IGP tuko Pamoja ila Kuna kazi ya ziada fikiria Nje ya Pwani Kuna uwezekano ndiyo root cause.
Majeshi mengi yaliyopo Pwani hayatasaidia Kitu kwasababu wanapigana na invisible killers.
Viko imara sana watu wanazidi kufa?!!Naamini vyombo vyetu viko imara sana
Hii pia point muhimu ya kuzingatiaWaombe msaada toka FBI
OVA
Invisible bandits, ni hatari sana. Lakini kwa jamii iliyostaarabika, wala haihitaji mil.10 ili kuwafichua wahalifu. Ubaya wa kuficha taarifa za wahalifu ni kuwa ipo siku utakukuta mlangoni kwako. Kumbuka wanaokufa nao hawapendi kufa na huenda hawajafanya lolote baya kwa wauaji, maana kamalipo ingekuwa rahisi kugundulika.Kwa jinsi mauaji yanavyofanyika mkoa wa Pwani nadhani ni ujumbe mzito kwa Serikali toka awamu ya nne.
Wauaji wanaua Polisi,Mgambo,viongozi w Serikali za mitaa na viongozi wa CCM tu na hawagusi kabisa wake zao wala watoto wao wala ndugu wa familia zao.
Kwa mtazamo wangu hapa Kuna kazi kubwa ya kufanya kujua root cause lakini sidhani kabisa kama ni uhalifu kama nilivyoeleza ktk kichwa cha mada.
Wauaji wameamua kuchagua eneo la mkoa wa Pwani kutokana na jiografia yake ilivyo ikiangalia Mkuranga,Kibiti na Ikwiriri ni rahisi sana watu wenyewe nia mbaya kutua kimkakati kufanikisha nia yao.
Serikali Inahitaji intelejensia ya ziada kapata root cause.
IGP kutangaza 10 mil hakuna atakayeichukua kwasababu hakuna atakayekubali kuuwawa kwa 10mil kutokana na wapewa siri kutotunza siri.
IGP tuko Pamoja ila Kuna kazi ya ziada fikiria Nje ya Pwani Kuna uwezekano ndiyo root cause.
Majeshi mengi yaliyopo Pwani hayatasaidia Kitu kwasababu wanapigana na invisible killers.
Invisible bandits, ni hatari sana. Lakini kwa jamii iliyostaarabika, wala haihitaji mil.10 ili kuwafichua wahalifu. Ubaya wa kuficha taarifa za wahalifu ni kuwa ipo siku utakukuta mlangoni kwako. Kumbuka wanaokufa nao hawapendi kufa na huenda hawajafanya lolote baya kwa wauaji, maana kamalipo ingekuwa rahisi kugundulika.
Hivyo usijifanye kuzuia taarifa kwa kigezo kuwa wapewa taarifa watazitoa kwa wauaji, bali sema tu ukweli huna taarifa yoyote ya maana, na siku wakiuwa ndugu zako kwa mtindo huohuo ndipo utajua ubaya wa kuficha taarifa.
Kwa watu waliochoka, watasema waziwazi wahalifu,wala kamwe hawaogopi, maana ukiogopa kumtaja mhalifu ndipo anapopanga njama kukuondoa ili usiseme daima
labda wenye elimu ya madrasa wameamua kuelezea manung'uniko yao kwa njia ingine,tupunguze dhihaka na tujifunze kuwasikiliza hata wendawazimu katika namna ambayo watahisi wameheshimiwaNi nini sasa!???
Mie kilio changuni kwa serikali kutowekeza vya kutosha katika miradi ya kuzuia uhalifu. Wameacha kwa kufanya mambo mengine yenye tija kidogo.Siamini kama wangeweza kuwa organized kiasi hicho bila kuachwa sehemu fulani....siamini kabisa wahalifu hawajulikani....siamini kabisa wako wengi kiasi hicho. Kitendawili hiki kina mwisho kama ilivyokuwa acid za Zanzibar
Wee Masuala ya roho za watu unaongea utombo wa green guards? Tunahitaji solution ya haraka na ambayo haitamuumiza mtu hata Iwe ni kwa mazungumzoMbaya zaidi wauwaji hawaonekani ili serikali ifanye hata mazungumzo nao.Chanzo ni siasa na wala sio kitu kingine ndio maana wanao lengwa ni watu wenyemafungamano na chama cha siasa ukichunguza vizuri utangundua hawa watu wengine (mapolisi na migambo) wamekuwa wakiuliwa baada ya kuingilia kati kusaidia upande wa siasa.
Ushauli wangu ni ile timu yetu ya Green Guide na yenyewe iingilie kati katika kuimarisha ulinzi wa viongozi wetu wa chama isiwe tu ni kakundi ka wakati wa vikao na kampeni.
Na ni ngumu jamii ikawa haijui jambo hilo au chanzo hicho. Ila wanaamua kukaa kimya as if watakuwa salama mileleHakuna jambo linatokea bila kuwa na chanzo
Ova
Usiseme ivyo utatekwaaaHii nchi ina amani ya maneno tu!
Kama revenge bora iwe angalau watawala wataacha kutuonea wanyonge
Tulikosea mahala...tugange yajayo. Ustawi na usalama wa nchi yetu ndio kitu cha kwanzaMie kilio changuni kwa serikali kutowekeza vya kutosha katika miradi ya kuzuia uhalifu. Wameacha kwa kufanya mambo mengine yenye tija kidogo.
1. Taarifa za wakaazi wa pwani kusafirishwa kwenda somalia, sudani, irani n.k zipo na za muda mrefu. Nani wamefuatilia kujua movement zawatu hao?
2. Na ni kwa kiasi gani mamlaka zaserikali za mtaa zimewezeshwa kuwa security concise ili kudhibiti movement za watu kwenye himaya zao? Mfano, unakuta mji una vijana watano, wawili wanaondoka. Je vitongoji na veos, wamewezeshwa kufuatilia kujua movement zao?
3. Watoaji wa passport, je wanatoa pasport kwa kuzingatia vigezo kweli? Mfano leo hii tunalalamika dada zetu kwenda oman na mataifa mengine ya kiarabu, je, tunawapa passport kwa sifa gani wallizonazo?
Mimi siamini kama kuna mkono wa mtu toka nje, ninachojiuliza RSO wa Pwani alikuwa anafanya nn mpaka hali imefikia hv? Yaani genge liko organized kiasi hiki bila usalama kujua kabla? Nitashangaa zaidi kama huyu RSO wa pwani atakuwa bado yuko kwa nafasi yake, vinginevyo serikali inajua kinachoendelea!Uchunguzi wa kina na wa kimya unahitajika. Huenda ni kampeni kutoka nje au ndani ili watugombanishe
Swala n wanafanya hvo kwa faida ya nanMimi siamini kama kuna mkono wa mtu toka nje, ninachojiuliza RSO wa Pwani alikuwa anafanya nn mpaka hali imefikia hv? Yaani genge liko organized kiasi hiki bila usalama kujua kabla? Nitashangaa zaidi kama huyu RSO wa pwani atakuwa bado yuko kwa nafasi yake, vinginevyo serikali inajua kinachoendelea!
What has happened after.......?Therefore......!?!?