Mauaji Rwanda 1994

Hakubainika, picha nyingi zinatisha Sana hasa zile ambazo mauaji yalifanyika kanisani
Najiuliza sana kwa nini mauaji mengi yamefanyika Kanisani tofauti na Misikitini au wengi walikuwa wanakimbilia Kanisani si misikitini na inasemekana waliokuwa wamejificha Misikitini wengi walipona

Je wauaji walikuwa hawaioni Misikiti au walikuwa wanaogopa kwenda?
 
Meya WA jiji ambae alikuwa mhutu aliwadangaya watusi wajifiche kanisani na ndo yeye alikuja kuwasaliti wakauliwa wote
 
Ni kweli waliokimbilia misikitini walipona, nadhani waasi walijua Wanarwanda wengi ni wakristo.
 
Ile vita inatisha jama, kama si kagame kujitahidi kupambana kuingia Kigali ile nchi ingefutika yote. Waasi wa kihutu wao nia yao haikuwa kushika nchi bali kuwateketeza watusi waliowapachika jina la "mende".Lkn nia ya kagame kama ilivyo kwa viongozi wengi wa kiafrika ilikuwa ni kushika madaraka ya nchi.Hii nia ya kagame ndio ilileta ukombozi wa nchi vinginevyo ingekwisha kwani waasi hawakutaka kushika nchi bali kuteketeza jamii nyingine
 
Ila lengo la mleta mada nikuonesha mzigo wa huyo marehemu hapo pichani tuuu. But vita ilitisha sana ilee
 
Murutongore, Jmall kujeni pande hii tafadhali. Kuna mtu kawasha moto huku!!
 
Inaonekana hauyajui matumizi ya herufi "h"
 
Kwa idadi ya waumini rwanda zaidi ya 90% wakristo.kule misikiti hakuna.so watu wengi walikimbilia makanisani.wauaji waliwafata huko huko kanisani wakawaua.
kingine ni kuwa unakuta kasisi ni mhutu na wanauliwa watusi kwachuki tuy.ivo aliweka pembeni imani yake ili auwe kikabila.iloo tuu.

Ila wewe jiulize huko middle east na kwingine wanaua kwa kumtukuza nani wa dini ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…