Matumizi ya Kalamu (Pen) Kwa Kufuata Rangi

Hiyo ya Marais kutumia wino mwekundu unaweza kuweka ushahidi? Ndiyo kwa niisome leo na siamini mpaka uweke ushahidi.

Mwaka 2014 kulikuwa na program ya mambo ya afya nilikuwa nafanya. Nikaenda hospitali ya temeke, wakati tunapewa daftari la wageni nikaona JK amesaini ukurasa mzima kwa kalamu nyekundu.
 
chake 2014 kulikuwa na program ya mambo ya afya nilikuwa nafanya. Nikaenda hospitali ya temeke, wakati tunapewa daftari la wageni nikaona JK amesaini ukurasa mzima kwa kalamu nyekundu.
Ameshawekewa ushahidi ila huyo FaizaFoxy kichwa chake siyo chepesi kuelewa
 
Mwaka 2014 kulikuwa na program ya mambo ya afya nilikuwa nafanya. Nikaenda hospitali ya temeke, wakati tunapewa daftari la wageni nikaona JK amesaini ukurasa mzima kwa kalamu nyekundu.
aione FaizaFox ..............alitaka ushahidi
 
Mwaka 2014 kulikuwa na program ya mambo ya afya nilikuwa nafanya. Nikaenda hospitali ya temeke, wakati tunapewa daftari la wageni nikaona JK amesaini ukurasa mzima kwa kalamu nyekundu.

Na mimi nimeshaona documents nyingi akisaini Kwa kalamu ya blue.
 
Back
Top Bottom