Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

lerman3x

Member
Jul 3, 2022
95
267
Habarini wana jamiii forums, nipo kuomba tena msaada. Nimekuwa shortlisted kwenye kada ya TUTORIAL ASSISTANT chuo cha Open University.

nilitaka kutambua maswali gani huwa yanaulizwa kweny hii Position kiujumla.
Nina siku 4 tu za maandalizi sielewiii nianze kushika lipi.

Natanguliza shukrani wakubwa.
 
Utumishi washaanza kuita watu Sasa.. jiandae vizuri vijana.. pdf za Usaili zishaanza kumiminika
 
Nataka msaada kwa waliwahi piga paper za TUTORIAL ASSISTANT wanipe format ikojee na wanalenga nini
maana kwa siku 4 siwez kutoboa nisome Course zote za semister 6.
 
Hakuna maswali maalum. Unatakiwa kuwa na uelewa mpana ktk eneo lako hivyo kwa siku nne si rahisi kusoma vyote.
 
Habarini wana jamiii forum, nipo kuomba tena msaada. Nimekuwa shortlisted kwenye kada ya TUTORIAL ASSISTANT chuo cha Open University.
nilitaka kutambua maswali gani huwa yanaulizwa kweny hii Position kiujumla.
Nina siku 4 tu za maandalizi sielewiii nianze kushika lipi.
Natanguliza shukrani wakubwa.
Umechaguliwa kada gani?
 
Hakuna maswali maalum. Unatakiwa kuwa na uelewa mpana ktk eneo lako hivyo kwa siku nne si rahisi kusoma vyote.
Mkuu kwa Kada yangu Siwezi tobooa maana nina Course kama 36 kwa semister zote 6.
na kingine nipo kitaa mda mrefu.

labda kama mtu anajuua mfumo yao ya utoaji hapo sawa.
 
Sina uzoefu wa usahili wa maandishi ila nakushauri upitie job descriptions na uweze kujikumbusha mambo muhimu unayohisi yanakutatiza.

Pia kwenye kufundisha pitia teaching methodology(utachimba kadri utakavyoweza)

Jikumbushe mambo ya ethics ya kitaaluma kwa mtumishi.

Ukiwa unajikumbusha hayo yote, jikumbushe pia mambo ya Chemia kwa ujumla uliyojifunza.

Wengine wenye uzoefu watakusidia zaidi.

Hongera sana kwa kuitwa, unaenda kupata uzoefu wa mambo yanavyoenda
 
Nataka msaada kwa waliwahi piga paper za TUTORIAL ASSISTANT wanipe format ikojee na wanalenga nini
maana kwa siku 4 siwez kutoboa nisome Course zote za semister 6.
Wewe soma vitu unovyoona muhimu na kwa uwezo wako.. Nadhani hata huko shule ulikuwa unaingia kwenye UE kupiga pepa na sio kwamba ulikuwa unajua Kila kitu kwenye course but still ulikuwa unafaulu
 
Mkuu kwa Kada yangu Siwezi tobooa maana nina Course kama 36 kwa semister zote 6.
na kingine nipo kitaa mda mrefu.

labda kama mtu anajuua mfumo yao ya utoaji hapo sawa.
Duuuh watu mna Raha kweli kozi 36 ndani ya miaka mitatu basi tulia mkuu relax utatoboa tu.
Me Bachelor yangu Niko na zaidi ya courses 45.. kwahyo kama mambo ya interview hapo nitakuwa naangalia mambo muhimu na applicable yanayoendana na post husika.
 
Chemistry hapo Mkuu.
Ahsante. Ni hivi. Kuna aina mbili za written interview.

1. Maswali ya Kada uliyosomea. Mathalan kwa kesi yako kama ni chemistry basi soma general knowledge ya chemistry au somo lililobeba main contents or principles za chemistry.

2. Maswali yanayopima uwezo wako kiujumla. Haya huwa ni mchanganyiko wa social knowledge, maths, language, n.k

Ushauri wangu kwako kutokana na muda kwako mdogo
Soma somo moja linalobeba main contents za chemistry. Ili anagalau usiwe mgeni wa mambo.

Soma research kwasababu wewe ni academician, research huwezi ikwepa.

Make sure computer skills hazikupigi chenga, kwasababu ni issues za online kwa wingi.

Kama ikitokea ni aptitude test inayopima uwezo wako tu, basi relax. Ni good for you.

Ikitokea ukaitwa oral, basi nenda na memory stick ambayo umeandaa slides za PowerPoint za kufundishia ambazo ni related na chemistry. Hiyo ni incase utatakiwa kuandaa lolote upimwe uwezo wako wa kutoa nondo kwa wanafunzi. Jiandae hivo no matter ni open au sio open University.

I wish you all the best.
 
Siku hizi Interview Zime rudishwa vyuoni. Utumishi wana simamia tu na kukagua vyeti. Na Oral pia ni utumishi na wawakilishi wa vyuo.
Ila Written, siyo kama zile paper za Utumishi. Utakutana na Bonge la Paper Refuuuu na miswali migumu. Ukute Mwl wa hicho chuo wa hilo somo ana mtu wake au watu wao. Mna chinjiwa Baharini.
 
Ila mkuu mbona naona kama usaili watafanya wenyewe chuo na si utumishi.ni hofu yangu wasije kubebana maana tusije choma nauli tuu.
Mkuu wewe jaribu tu maana hamna namnaa, kama ipo ipo tu. kikubwa tupambane
By the way Utumishi wapo pia Dar es salaam hapa.
So Probably wawakilishi lazima wawepo.

maana nilishawahi fanya Usahili UDSM, Wawakilishi wa UTUMISHI walikuwepo tena wa3 kweny venue siku ya Written INTERVIEW na cku ya Oral kwny Panel alikuwepo mmoja.

So kikubwa wewe choma Nauli ujaribu bahati yakoo na u gain Experience.
 
Siku hizi Interview Zime rudishwa vyuoni. Utumishi wana simamia tu na kukagua vyeti. Na Oral pia ni utumishi na wawakilishi wa vyuo.
Ila Written, siyo kama zile paper za Utumishi. Utakutana na Bonge la Paper Refuuuu na miswali migumu. Ukute Mwl wa hicho chuo wa hilo somo ana mtu wake au watu wao. Mna chinjiwa Baharini.
Mkuu hili paper ume Experience kutoka Chuo gani??
 
Siku hizi Interview Zime rudishwa vyuoni. Utumishi wana simamia tu na kukagua vyeti. Na Oral pia ni utumishi na wawakilishi wa vyuo.
Ila Written, siyo kama zile paper za Utumishi. Utakutana na Bonge la Paper Refuuuu na miswali migumu. Ukute Mwl wa hicho chuo wa hilo somo ana mtu wake au watu wao. Mna chinjiwa Baharini.
Kabisa aisee,yani hamna kitu hapo.ni kubebana tu.waalimu wa pale chuo kikuu huria watabebana sana kwa wanafunzi wao
 
Mkuu wewe jaribu tu maana hamna namnaa, kama ipo ipo tu. kikubwa tupambane
By the way Utumishi wapo pia Dar es salaam hapa.
So Probably wawakilishi lazima wawepo.

maana nilishawahi fanya Usahili UDSM, Wawakilishi wa UTUMISHI walikuwepo tena wa3 kweny venue siku ya Written INTERVIEW na cku ya Oral kwny Panel alikuwepo mmoja.

So kikubwa wewe choma Nauli ujaribu bahati yakoo na u gain Experience.
Nimekuelewa.shukrani.
 
Back
Top Bottom