BAVICHA kwa matusi! Yaani kama walipatikana unyagoni vileMkuu una uhakika una uwezo kuvumilia matusi ya BAVICHA?
Jaribu kujiheshimu walau kidogo tuMnyika kwa sasa kachanganyikiwa. Hatakuwa na uwezo wa kujiu maswali yako
Kala pesa za akina lizabon anatafakari jinsi ya kujinasua na mtego uliowanasa Lipumba na Slaa.Mnyika kwa sasa kachanganyikiwa. Hatakuwa na uwezo wa kujiu maswali yako
UNAONA SASA AKILI NA MAAMUZI YENU YA MWENDO KASI PASIPO KUFIKIRI KWA KINA, WEWE UNATAKA KUONANA NA MHE. NA HUNA CHA KUMUULIZA WALA KUMUAMBIA CHA MSINGI.. VERY MISERABLE & USELESS CREATURE ONEARTH FOR SURE.Natarajia kwenda kumuona bwana Mnyika nyumbani kwao Kimara ikiwa ni kumjulia hali na kubadilishana naye mawazo baada kipindi kirefu kupita (mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2005). Kwakuwa humu kuna wakazi wa jimbo la Kibamba ambao wangependa kusikia kitu kutoka kwa mbunge wao, na pia watanzania wanachama wa CHADEMA ambao wangependa kusikia kitu kutoka kwa kiongozi wao, natoa fursa kwa yeyote mwenye swali aniandikie hapa na mimi nikimkuta hali yake inaruhusu nitamuuliza na kuleta majibu hapa. Hii ni katika kusaidiana tu.
UNAONA SASA AKILI NA MAAMUZI YENU YA MWENDO KASI PASIPO KUFIKIRI KWA KINA, WEWE UNATAKA KUONANA NA MHE. NA HUNA CHA KUMUULIZA WALA KUMUAMBIA CHA MSINGI.. VERY MISERABLE & USELESS CREATURE ONEARTH FOR SURE.
Kwani anaumwa?Natarajia kwenda kumuona bwana Mnyika nyumbani kwao Kimara ikiwa ni kumjulia hali na kubadilishana naye mawazo baada kipindi kirefu kupita (mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2005). Kwakuwa humu kuna wakazi wa jimbo la Kibamba ambao wangependa kusikia kitu kutoka kwa mbunge wao, na pia watanzania wanachama wa CHADEMA ambao wangependa kusikia kitu kutoka kwa kiongozi wao, natoa fursa kwa yeyote mwenye swali aniandikie hapa na mimi nikimkuta hali yake inaruhusu nitamuuliza na kuleta majibu hapa. Hii ni katika kusaidiana tu.
kachanganyika kama wewe baada ya kukosa u dc na u ded bado unakazana kujikomba tu hapa jf una bahati TCRA hawakuzima jicho kimchina chakoMnyika kwa sasa kachanganyikiwa. Hatakuwa na uwezo wa kujiu maswali yako
Jamani taarida za uhakika mnyika amerukwa akili sasa hutaweza kumuonaNatarajia kwenda kumuona bwana Mnyika nyumbani kwao Kimara ikiwa ni kumjulia hali na kubadilishana naye mawazo baada kipindi kirefu kupita (mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2005). Kwakuwa humu kuna wakazi wa jimbo la Kibamba ambao wangependa kusikia kitu kutoka kwa mbunge wao, na pia watanzania wanachama wa CHADEMA ambao wangependa kusikia kitu kutoka kwa kiongozi wao, natoa fursa kwa yeyote mwenye swali aniandikie hapa na mimi nikimkuta hali yake inaruhusu nitamuuliza na kuleta majibu hapa. Hii ni katika kusaidiana tu.
fMnyikaakawakoseat: 16847881 said:Jamani taarida za uhakika mnyika amerukwa akili sasa hutaweza kumuona